Busanda baada ya kabuzi CCM imepoteza mvuto, vijana litazameni jimbo hili lipo wazi!

wewe Kimboka yaelekea uko nyuma kwa habari, watoto wadogo unawafahamu>>> yaelekea unakaa mjini sana hufahamu Busanda na watu wake >>>!! rudi kijijini ukawajue wanabusanda...
 
Chief Lugina uko sawa lakini Chadema wanakujua, hawatoi nafasi ya kugombea bila kua na vigezo./ sifa za mwanasiasa!!! ... onyesha kwanza kama unaweza na sio kuanza kupinga wenzako humu., hujui wamejipanga vipi..... hamna alieonyesha nia zaidi yako ila naona unamkandia mwenzako ambae hajasema kama anakuja 2015 bali ni mtu kamsemea.......jenga hoja za msingi!! japo kua nachojua akija lazima awatikise mm simjui ila nishamsikia kwa watu.....,... mpo wengi 2015 lakini wananchi sisi hatuangalii chama bali tunaangalia mgombea mwenye sifa... na mpo wengi lakini mjue pia Mamam Lolensia ameshika wamama woe na hao ndio wapiga kura wakubwa majimboni kwahio kumuondoa nayo yahitajika maarifa....
Bt siasa mchezo mchafu.... usijiwekee hope sana...
 
Back
Top Bottom