Bus rapid transit(brt)

Ugonjwa mkubwa wa watanzania ni kusahau. Mradi huu ulibuniwa tangu mwaka 1996 na Sykes aliwahi kuwa CEO wake baada ya kuacha umeya wa jiji la dar....wakati wa utawala wa mkapa. Vingi vinavyojengwa sasa ni plans za awamu ya tatu.

Ni upuuzi sana ku implement mradi Wa 1996 mwaka 2012 ili utumike mwaka 2014. Ndio maana hautaweza kutatua matatizo yaliyopo, kwanini tusiwaige wakenya walioweza kutengeneza fly over yenye urefu Wa km45 na yenye lane 5 kwenda na kurudi?
 
Mkuu kinyoba, ndiyo maana nimesema ugongwa wa kusahau....it makes you forget your past, na hata ushindwe kuplan leo kwa ajili ya kesho. Ndiyo tataizo la Tanzania. Na shida kubwa itakayotutafuna ni kukwepa kusoma masomo magumu...kila mtu anasoma history ili aende kusoma kozi nyepesi. Na hao ndiyo wamejazana serikalini na ndiyo watengeneza sera na wakuu wa mipango.....LoL!!
 
Back
Top Bottom