Bus rapid transit(brt)

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
841
175
Nafikiri tunakoelekea ni mradi kama huu;sijui,anyway tusibiri tuone kama itakuwa hivyo.
 
Attachments

  • BRT.jpg
    BRT.jpg
    68 KB · Views: 219
  • BRT1.jpg
    BRT1.jpg
    33.8 KB · Views: 182
subiri uone kizunguzungu chake it will not be any close to that, mradi huo utatangazwa sana, watau watatfuta sifa na utafanya kazi kwa miaka miwili (maximum) halafu utakufa, at least tutabakiwa na barabara, that is at least a good thing for the city
 
kuwa na mawazo chanya mkuu ...hayo mawazo hasi hayana faida yoyote
 
brt ni moja ya kumbukumbu nzuri itakayoachwa na serekali ya awamu ya nne.
Big up jk.

Ilianza tokea awamu ya tatu ndugu......BIG UP TO OUR ONLY INTELLIGENT AND SENSIBLE MAYOR FOR DAR ES SALAAM SO FAR........HIS LORDSHIP KLEIST ALLY SYKES.......unfortunately wajanja na pesa wakakuweka pembeni
 
kuwa na mawazo chanya mkuu ...hayo mawazo hasi hayana faida yoyote

Mkuu ninachoweza kusema ni kuwa tujaribu kuangalia reality. Mawazo hasi kweli hayasaidii, lakini mawazo chanya wakati reality inaonesha vingine ni kujidanganya. Uzuri ni kwamba hizi threads huwa hazifutwi, zinakaa kwa muda. Miaka miwili baada ya mradi huo kuwa operational turudi kwenye thread hii kuangalia nini kinaendelea. Nitafurahi sana kama nikiwa wrong.
 
Idadi ya maajabu ya dunia imefikia ngapi wadau? Au bado ileile saba? Siyo haki.
 
brt ni moja ya kumbukumbu nzuri itakayoachwa na serekali ya awamu ya nne.
Big up jk.

Ugonjwa mkubwa wa watanzania ni kusahau. Mradi huu ulibuniwa tangu mwaka 1996 na Sykes aliwahi kuwa CEO wake baada ya kuacha umeya wa jiji la dar....wakati wa utawala wa mkapa. Vingi vinavyojengwa sasa ni plans za awamu ya tatu.
 
Wanasubiri kipindi cha uchaguzi wajinadi na huo mradi kwenye kampeni zao.

Mbona kila mtu analifanya hilo, nilisomesha watoo buku jero, nilijenga daraja, nilichimba kisima, hata obama anasema aliyoyafanya miaka minne yk, kumaliza vita nyingi, kumuangusha Hatimae kumuua Col, ni kawaida
 
Ugonjwa mkubwa wa watanzania ni kusahau. Mradi huu ulibuniwa tangu mwaka 1996 na Sykes aliwahi kuwa CEO wake baada ya kuacha umeya wa jiji la dar....wakati wa utawala wa mkapa. Vingi vinavyojengwa sasa ni plans za awamu ya tatu.

Kwa hiyo wamekosea kujenga sbb ulibuniwa zamani, ama tusisifie sbb umejengwa leo, ama wasingetekeleza mipango ya muda mrefu
 
subiri uone kizunguzungu chake it will not be any close to that, mradi huo utatangazwa sana, watau watatfuta sifa na utafanya kazi kwa miaka miwili (maximum) halafu utakufa, at least tutabakiwa na barabara, that is at least a good thing for the city
Umeshazoeleka mpinga maendeleo, miradi hutunzwa na wananchi, huko unakoona miradi inadumu wananchi wake wametungiwa sheria za hatari zikiletwa huku maandamano lzm
 
Mbona kila mtu analifanya hilo, nilisomesha watoo buku jero, nilijenga daraja, nilichimba kisima, hata obama anasema aliyoyafanya miaka minne yk, kumaliza vita nyingi, kumuangusha Hatimae kumuua Col, ni kawaida

Tatizo kubwa kwa kikwete ni Tofauti.Ratio ya maendeleo na muda aliokaa madarakani haviendani, Usisahau pia atakuwa ameliacha Taifa na mzigo mkubwa wa madeni 14 trilion.ingawa hiyo miradi mingi ya maendeleo kama madaraja na barabara ina more than 50% ya wafadhili.Ndani ya kipindi chake cha utawala 7yrs tuu deni la taifa limeongezeka zaidi ya nusu ya lile alilolikuta nyuma ya watawala wenzake.
 
Mkuu, uwiano wa muda na thamani ya deni hili ni lazima uangalie vitu kama thamani ya shilingi wakati tunakopeshwa mpaka sasa, hata wahisani wanatupa hela zakufadhili miradi wakiamini katika miradi hiyo itachochea maendeleo na pengine hata ulipaji wa madeni yao bila kusahau muda wa utumiaji na uchakavu wa miradi hiyo. Ndio maana miradi mingi ilibuniwa katika awamu ya tatu ila utekelezaji wake umekua katika awamu ya nne na muda bado unakua kigezo kikuu hapa!
 
Umeshazoeleka mpinga maendeleo, miradi hutunzwa na wananchi, huko unakoona miradi inadumu wananchi wake wametungiwa sheria za hatari zikiletwa huku maandamano lzm

Mkuu tuwe tunaangalia hali halisi, kwanini basi na sisi tusiwe na sheria hatari za kulinda miradi yetu. Ina maana unakubali kuwa kwa kuwa hatuna sheria kali ndio maana miradi yetu inakufa, so as the one in question.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom