Bus la mkoani laishiwa mafuta porini

phina

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
414
126
Sijawahi dhani hili litantokea mimi..nimetoka zangu moshi na saibaba la karatu linapita moshi saa saba hivi..
nikapitiwa na kijiusingizi kwa sababu huko nlikotoka mambo nimeacha shwaari!!
Sasa ninia interview dar kesho saa mbili sasa nipo maporini hedaru-gari limeishiwa mafuta!so hapa nafika dar saa 8 usiku!!
Hivi ntakuta usafiri kweli??usalama wangu??
are we this backward??mafuta yanaisha kabla hata hatujafika nusu ya safari..eeh Tanzania nchi yangu!!
 
sina option nyingine zaidi ya kuvumilia..ukizingatia ndo kwanza safari mbiiiichi!!
 
Back
Top Bottom