Bus la Greenstar kimeo limekwama chalinze.

peoples power

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
475
100
Abiria wanao safiri na greenstar kutoka Dar kwenda Mwanza mpaka muda huwa wamekwama Chalinze polisi halafu hakuna juhudi zozote zinazofanya kuwakwamua hapo.Kama biashara ya wakati ule ya Scandinavia iliwashinda sijui kama mtaweza zama hizi.
 
Abilia wanaosafili na greenstar kutoka dar kwenda mwanza mpaka muda huwa wamekwama chalinze polisi halafu hakuna juhudi zozote zinazofanya kuwakwamua hapo.kama biashara ya wakati ule ya scandimavia iliwashinda sijui kama mtaweza zama hizg.mmefulia
be serious mkuu?
 
riz1 kashindwa?gari halina hata mwaka1 barabarani ..duh!
 
Back
Top Bottom