Bus la Dar express lawaka moto.....

wananchi wa rombo na wakikuyu/Wakamba wanaotumia mabasi ya dar express kuelekea tarakea rombo
waache kuyapanda yapo mengi kama meridian na sai baba kama wanajali maisha yao,
barabara ni nzuri ina lami hadi tarakea mpaka rongai kwanini wapande mkweche??
 
hayo mabasi ya dar express mi nishaacha kuyapanda siku nyingi. kwanza kero yao kubwa ni kufaulisha abiria kwenye mizani
..Kulikuwa na mabasi ya ile kampuni ya Buffalo. Jamaa walikuwa wanapenda sana kukimbizana na Ngorika na hao Dar Express sijui yale mabasi yamefia wapi. Niliwahi kumshitaki dereva wake mmoja kwa trafiki pale Mombo maana ule mwendo ulikuwa ni wa kiwendawazimu kabisa.
 
Kwa kuharibiana biashara wabongo noma, dar express ana magari ya ukweli na ni wakupigiwa mfano. Ana marcopolo za ukweli na sio mchina.
Gari liko poa mie niliona tyre ya mbele ndio lililo lililokuwa na hitilafu nilipita wakati wanabadilisha na hakukuwa na abiria
 
dar express ina magari mazuri na mara nyingi ndo huwa nalipanda nikiwa nasafiri ila hayo ya kuenda rombo ni yale ya zamani na kweli yamechakaa..
 
Back
Top Bottom