BURUNDI AND SOUTH AFRICA WITHDRAW FROM ICC

Sammuel999

JF-Expert Member
Jun 1, 2016
3,481
2,344
Where is geza at??

When kenya Suggested a motion to the African Union To be out of ICC geza said that no one will ever follow kenya Look now SA burundi have withdrawn before Kenya itself

Hehehe

1477069507412.png
 
Inakoelekea nchi nyingi zitajiondoa kwenye hii mahakama. Mataifa makubwa yamekataa kujiunga, na wanajua fika pindi wakiithibitisha viongozi wao ni wahanga namba moja wa hii mahakama.
 
Kenya was and still is in a tough position, tukijitoa na ICC bado iko na pending prior engagement with Kenya, inamaanisha itaendelea na hio engagement mpaka iishe, at the same time kama kenya itakua imeshajitoa, inamaanisha hatutakua na say ama ushawishi wowote kwa ICC maana tutakua non-member ..... Mpaka tumalizane na ICC kabisa ndo tutaeza jitoa, kwasasa ICC imeturipoti kwa security council tunabgoja reply ya security council
 
Mi sioni lolote hapo. Geza na Wile wasema ukweli. Tatizo letu ni kubweka tu na hakuna tunalotenda kwa hili. We should have gotten out of this useless body kitambo sana. Just after the case za ruto kuisha. Kuhusu pending cases, we can sort those in the next one year. Kazi ya hawa jamaa ni kuongea tu.
 
Back
Top Bottom