Burudani Time - Angalia Mkuki Usikuchome

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,125
<table style="width: 471px;" align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td style="width: 506px; padding-left: 7px; padding-right: 7px;"><table style="width: 491px; height: 277px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;">
</td> </tr> <tr style="background-color: rgb(225, 225, 225); padding-top: 10px;"> <td style="width: 250px; padding-left: 5px; padding-bottom: 5px; padding-top: 5px;" valign="top">
4482602.jpg

</td> <td style="padding-left: 10px; width: 316px;" valign="top"> Sunday, May 16, 2010 2:06 AM
Mhhh.. ni wakati mwingine wa burudani za mwisho wa wiki, tunawaletea video hii ya live show ya Jahazi modern taarabu lakini wakati unaangalia tafadhali angalia mkuki wa jahazi usikuchome.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;"> Jahazi wanasema:

Malipo ni duniani, akhera kuhesabiwa
usijigeuze nyani, kucheka uliyoombewa,
wajua unakotoka, hujui unakokwenda
mithili ya rabuka, haijui mwanamwenda
hata uwe unaruka, kwa mola huwezi kwenda
-
Alopewa mitihani, mungu hajamuonea
Msikae vikaoni, vidole kumnyooshea

--
Kibwagizo
-----------

Wasafirishe wapeleke pwani na jahazi
Mwanamke nyonga, makalio ni majaliwa
Uongo Uongo?

--</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; text-align: center; width: 491px;">
</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;">

VIDEO - Mkuki wa jahazi..
<object height="385" width="480">


<embed src="http://www.youtube.com/v/uyZWIdQRsjM&hl=en_US&fs=1&rel=0" type="application/x-shockwave-flash" allowscriptaccess="always" allowfullscreen="true" height="385" width="480"></object>





</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td style="width: 506px;" height="15"> <table style="width: 488px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"> <tbody><tr> <td style="width: 429px;">
</td> <td style="width: 249px;">
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> </tr></tbody></table>
 
Duh huo ndo mzuka au vipi? Jiyo shughuli walitoka hapo wote maungo yanauma na hiyo mijasho sasa duh
 
Mmmh! Burudani keeli. Lakini sio fabi yangu. Walio kuwa wakali kwaudini nafikiri wako low. Kans kawaida, tunawajua.
LOW ! Nasema hivyo.
 
Huo Mkuki namba 1 si mali kitu. Hebu angalia part 2 ndiyo utafahamu Wanavyokufuru. Ila hawa bado naona wako mbali kuwafikia vijana Wala samaki na sasa wanakula BATA. Haki ya nani yule mama analipindisha kalio kama MUKIA wa THAMAKi perege wa Wapare, kheee kheeeee!!!!!

Jahazi Modern Taarab - Mkuki Part 2
 
kweli mkuu maana hajui kuwa hiyo ndiyo burdani ya allah heheeee, hao ndiyo wahitimu wa madrassatur hahaaaaaa, hebu mwelimisheni jamaa kuwa hizo ndiyo nyimbo za kusifu uwezo wa subhanallah
Najuwa kuwa chuki zako zinakuzeesha, pole sana.

kwa kuwa mna'dance makanisani basi mnafikiria kuwa hata Uislam wana dance misikitini.
 
Najuwa kuwa chuki zako zinakuzeesha, pole sana.

kwa kuwa mna'dance makanisani basi mnafikiria kuwa hata Uislam wana dance misikitini.
sasa mbona unakuja na hasira?????? siyo mimi ni allah tu hahaaaa,.....X-PASTER punguza jazba lete hoja siyo kufoka foka tu ebooo
 
hizi kwaya za kiislam huwa zinanivunja mbavu...hapo mungu wao ndo anafurahi kweli.

Kwaya, kama neno lenyewe linavyoonekana ni neno la mapokeo likimaananisha aina ya utamaduni wa mapokeo. Ni neno lililotokana na neno 'choir'. ...
Usiutusi Uislam kwa nyimbo za watu wa pwani ndg yangu wanaokwenda kwenye hizo nyimbo ni watu tofauti.
 
good work out..

afu msitutishie amani na uzanzibar wenu mbona hivyo viuno vya kawaida sana kwangu!:painkiller:
 
kweli mkuu maana hajui kuwa hiyo ndiyo burdani ya allah heheeee, hao ndiyo wahitimu wa madrassatur hahaaaaaa, hebu mwelimisheni jamaa kuwa hizo ndiyo nyimbo za kusifu uwezo wa subhanallah

YOU TWO NI WADINI/WABAGUZI AND MOST BORING PEOPLE ON THIS FORUM....GROW UP....:angry:

AFU SIO WEWE ULIYEANZISHA MADA KULE YA KUCHOMEKEA VITU INAPROPRIATE KNY MAJUKWAA/TOPIC NYENGINE???...HOVYO!
 
angalia sana mdomo wako kuliko kuropoka!kama hujui bora uulize kuliko kuongea usichokielewa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom