AY, Diamond, Harmonize na Dj D-Ommy washinda tuzo za AEA za Marekani

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
img_20161023_130136_793-jpg.422878

Wakati Jana utoaji wa tuzo za MTVMama ambazo zimetolewa Afrika Kusini na ambazo hakuna Mtanzania hata moja aliebeba tuzo ,usiku huo huo wa Oct 22 kuamkia Oct 23 nchini Marekani kulikua pia kukitolewa tuzo ambazo Watanzania wenzetu pia walishiriki.
Tuzo ambazo zilitolewa marekani zinajulikana kama African Entertainment Awards Usa 2016 (AEA) kitu kizuri na kikubwa ni kwamba Watanzania wenzetu wameshinda pia kwenye tuzo hizo kwenye baadhi ya vipengele

1.msanii bora wa kiume - Diamond Platnumz.

2.Msanii bora anaechipukia - Harmonize

3. wimbo bora wa kushirikiana-Zigo ya AY & Diamond platnumz

4.DJ Bora - Dj D Ommy
 

Attachments

  • IMG_20161023_130136_793.JPG
    IMG_20161023_130136_793.JPG
    29 KB · Views: 373
Kuna mtu kaleta uzi umu eti kafurahi wabongo kutochukua zile za MTV MAMA hakipata habari hizi nadhani atabanwa na tumbo la kuarisha
 
Tekno miles ana muda kidogo kwenye mziki ukilinganisha na dogo harmonize ambae kwa muda mfupi sana anahit
 
Hizi awards ni kama usahishaji wa pepa ya history teacher huyu anakupa 67, yule 89 huku 36 kule 97
MTV wizkido ndo best huku AESA Diamond ndo best,,, hahahahaha
20% fanya urudi kundini
 
Ha ha ha... apana mkuu, mziki wa tekno na wa dogo tekno kamshnda pakubwa

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app

Soma vizuri tuzo aliyoshinda msanii wetu harmonize, tuzo ya msanii bora anayechipukia hivi zao linalochipukia ndani ya wiki na linalochipukia ndani ya wiki mbili lipi linafaa kupewa tuzo, kama unaongelea mziki mzuri hapo unazungumzia ladha ya zao sio kuchipukia tena, kama ni mziki mzuri huyo tecno miles ashapigwa chini na walioshinda hizo tuzo za nyimbo kali

Over......
 
Hanna kitu tuzo za heshima za Jana ila hizi za kina dmk acha wakaongeze urembo majumbani kwao
 
Back
Top Bottom