Buriani Baba yetu Emilio Lusuva

MORIA

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
706
277
Ni siku ya ijumaa tulimzika huyu mzee wetu huko Sae mkoani Mbeya..Emilio alikuwa baba,mwanazuoni,mwanaharakati na kiongozi mwandamizi ktk chama cha wafanyakazi mkoani Mbeya..Mzee Emilio aliipigania haki na kweli ktk jamii yake hakika wana Sae na Mbeya hatutakusahu..Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe Amen..
 
Back
Top Bottom