Buriani Amina Chifupa!

Status
Not open for further replies.
Nimepokea kwa mshtuko mkubwa habari hii. kalale pema peponi AMINA daima tutakukumbuka. ulikuwa unafuata nyayo za Bibi Titi Mohammed.
 
Kuna Taarifa Kuwa Inawezekana Kuwa Huo Msaafu Alioapishwa Nao Ndio Unaweza Kusababisha

Shigongo Naye Ana Mkono

Lakini Huyo Emanuel Nchimbi Ndio Ana Damu Mkononi Mwake
 
ndio hivyo masikini dada yetu katutoka ...jamani kama utani tu...JUZI NILIKUWA PALE RG..KUNA MTU ALINIAMBIA WIKI AMALIZI..MAANA TAYARI AKISHAPOOZA UPANDE MMOJA BYA THEN.WANASEMA...KIPAPAI CHA MPAKANJIA ON ACTION .... SASA ZITTO NAE AKAE CHONJO AKAAGE NYUMBANI!!!!!
 
mhm, hatari jamani ! nakaa hapa nasubiri up date juu ya marehemu, yaani ilikuwaje n.k. ( kwa kuwa ni public figure ) itakuwa vizuri tukipewa data. more info plz
 
Why, Why, Why, Why, Why, Why, Why, Why, Why, Why, Why, Why, Why, Why X 00000000000000000000000000000000009000000000000000000000000000000
 
ndio hivyo masikini dada yetu katutoka ...jamani kama utani tu...JUZI NILIKUWA PALE RG..KUNA MTU ALINIAMBIA WIKI AMALIZI..MAANA TAYARI AKISHAPOOZA UPANDE MMOJA BYA THEN.WANASEMA...KIPAPAI CHA MPAKANJIA ON ACTION .... SASA ZITTO NAE AKAE CHONJO AKAAGE NYUMBANI!!!!!

Phillimon mikael.
wewe ni mtu mzima na kiongozi. tumefiwa wenzio wewe unaleta maneno ya kijinga. tafadhali usitulee maneno ya kipuuzi. unamsimanga hadi maiti?

mmemsakama Amina akiwa hai, na sasa amekufa bado mnamsakama? ulikuwa wapi kueleza ujinga wako huu kwenye mada ya wanene na marupupu?

PLS msimsakame maiti. MPAKANJIA hakuwa na kinyongo na Amina. alikuwa nae bega kwa bega kwenye ugonjwa.
 
mswahili calm down my brother. i understand what we're undergoing through right now, ukiangalia kuna watu waliokuwa wakimpinga na wengine waliomuunga, nadhani hapo ndipo tofauti zetu zinazokuja, hivyo itakuwa vizuri tukiweka yote kando na tusubirie mambo yawe sawa !
 
aaaaghhh, ...Inna Lilah wa Inna ilayhi Rajuun...sote ni wa mwenyezi na kwake ni marejeo! Mwenyezi Mungu ndio hakimu, Inshaallah!... Poleni sana ndugu jamaa na marafiki wote wa dada yetu, mdogo wetu Amina Chifupa.
 
SIKU nne zilizopita aliongezewa damu ...alikuwa na hali mbaya hivi hivi tu...taarifa zake zilikuwa siri mnu tangu mjj anapiga kelele hadi analazwa pale millitary hosp...tena kwenye sehemu VIP ambako watu wa kawaida hawaruhusiwi ..na kuna usiri mkubwa ....itakuwa ni busara pamoja na taratibu ya hosp za kijeshi madaktari wake watoe ufafanuzi wa matatizo yake ..kama ndugu zake wataridhia.....
 
Baba wa Marehemu amethibitisha kwa kuongea na waandishi wa habari. Apumzike kwa Amani.
 

Attachments

  • chifupa.jpg
    chifupa.jpg
    13.1 KB · Views: 203
well, no one gets credit for earlier death announcements if u will ! sote sie ni marehemu watarajiwa. naweza nikasema fulani atafuata ikitokea kweli, it doesnt mean i get credited for it. it just comes out that way ! tuwekeni tofauti pembeni.
 
Habari nzito sana na nasema kabisa kuwa hii siyo bure; ni vigumu mtu kuniambia kuwa huu ni ugonjwa wa kawaida nikakubali. Huyu dada alikuwa mzima kabisa mpaka pale walipomzulia lile skendo na kuzuiwa asiizungumzie. Kuanzia hapo ndipo tukasikia hali yake siyo nzuri mpaka leo; niliwahi kusema kuwa hiyo itakuwa ni "polonium-210," and I still believe so.

Nasikia katika kinyang'anyiro cha madaraka ndani ya CCM polonium-210 ni ya kawaida sana, na yeye siyo victim wa kwanza. Baba yake alifanya makosa sana kumzuia wakati ule, ni afadhali angesema yaliyokuwa moyoni mwake kuliko kufariki nayo na hivyo kuwaacha wabaya wake wakifurahia.

Yaani msiba huu umeniboa kweli kweli, ngoja nifunge ofisi kurudi nyumbani kupumzika kwa vile hakuna nitakalofanya la maana tena.

MUNGU AILAZE PEMA PEPONI ROHO YA DADA NA MBUNGE WETU AMINA.
I guess ndiyo maana Zitto hataki kuliongelea hili kwa vile anajua utata wake. Na kwa matukio haya, nadhani msimamo wake ni sahihi kabisa kabisa.
 
mswahili kama umekwazika kwa lolote sorry...si utamaduni kugombana katika hili...kwani kila mtu ana uchungu...katika msiba tuwe kitu kimoja ...huo ndio utamaduni ...ahsante!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom