mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 626
Bora wewe au baba ako kuliko LowassaBora Lowassa kuliko CDM
Bora wewe au baba ako kuliko LowassaBora Lowassa kuliko CDM
unalinganisha safari za nje za Usa na Tz wale wanakwenda kuangalia miradi yao ya uwekezaji kikwete anaomba kwa wanaume wenzake kila mwaka !Hakika ni kichekesho maana hicho kinachoitwa kulipua ni upuuzi mtupu maana kila tukiangalia hakuna jipya zaidi ya yale ambayo tumezoea kuyasikia na mengine ni yale ya wale wapinzani wake kama issue ya shamba la Arusha ambalo tukio lake lilitokea mwaka 1986 wakati huo Membe akiwa ni mtumishi wa kawaida wa serikali. Hivi unaposema hela iwekwe kwenye escrow account, ana maana gani? Anajua Escrow Account matumizi yake huwa ni vipi? Kwa bahati mbaya sana wakati anaongea hili, bunge la Uingereza na serikali vimeshaiamuru BAE walipe fedha hizo haraka serikalini.Mimi nashangaa mtu kulalamikia ziara za nje wakati hiyo ni sehemu ya ushirikiano wa kimataifa na linafanywa na kila nchi. Kwani Marekani inapotuma rais au waziri wake wa mambo ya nje kote duniani anatembeza bakuli? Ninachokiona hapa ni ama upeo mdogo wa shughuli za kimataifa au ni kutumiwa katika siasa za amji taka.
..suala hili si la kuachiwa wizara ya maliasili na utalii peke yao.
..wizara ya mambo ya nje inapaswa kuingilia kati ukizingatia kwamba hujuma hiyo imehusisha raia wa/taasisi ya nchi nyingine, Qatar.
..waziri Membe anapaswa kuwa mstari wa mbele kufuatilia na kuhakikisha kwamba wanyama wetu wanarudishwa toka Qatar, au hata tunalipwa fidia stahiki.
..natarajia wabunge wa CDM watambana waziri Membe atoe msimamo wa serikali kuhusu tukio hili la kihalifu kuna dalili kwamba serikali/raia wa Qatar wamehusika.
Mzalendo said:ndege ilitua ni ya kijeshi mbona we mnazi hukuliuliza hilo swala wakati huo wakati ndege yakijeshi iliyetuwa nchini huku hofu kuvamiwa au umepokea posho kabla ya kuja kupost zejungu?
Samahani naomba nikuite 'mpumbavu'. Asante sana kwa ruhusa yako.Hayo ni mambo ya kawaida tu wewe! unadhani nchi ngapi duniani hazina mikopo?? Acha kushabikia ujinga
Mkuu website ya ikulu imeshasimama vizuri??Hakika ni kichekesho maana hicho kinachoitwa kulipua ni upuuzi mtupu maana kila tukiangalia hakuna jipya zaidi ya yale ambayo tumezoea kuyasikia na mengine ni yale ya wale wapinzani wake kama issue ya shamba la Arusha ambalo tukio lake lilitokea mwaka 1986 wakati huo Membe akiwa ni mtumishi wa kawaida wa serikali. Hivi unaposema hela iwekwe kwenye escrow account, ana maana gani? Anajua Escrow Account matumizi yake huwa ni vipi? Kwa bahati mbaya sana wakati anaongea hili, bunge la Uingereza na serikali vimeshaiamuru BAE walipe fedha hizo haraka serikalini.
Mimi nashangaa mtu kulalamikia ziara za nje wakati hiyo ni sehemu ya ushirikiano wa kimataifa na linafanywa na kila nchi. Kwani Marekani inapotuma rais au waziri wake wa mambo ya nje kote duniani anatembeza bakuli? Ninachokiona hapa ni ama upeo mdogo wa shughuli za kimataifa au ni kutumiwa katika siasa za amji taka.
americans are busy strategizing life beyond the current political, financial and allies, jamaa baada ya sisi kupiga mbinja ya africom wao kwa afari zao wakaweka base german (yes!!) na wanaexecute kila kitu kama kilivyopangwa, sisi mtu anaenda kuzunguka hadi kwenye vimikutano vya SME's parisunalinganisha safari za nje za Usa na Tz wale wanakwenda kuangalia miradi yao ya uwekezaji kikwete anaomba kwa wanaume wenzake kila mwaka !
Akiwa London kwenye ile mikutano ya Diaspora aliulizwa foreign policy ya Tanzania akaanza kujichanganya. Akaanza kueleza pillars za foreign policy yetu. Alipo mention democracy akauliza nini msimamo wa Tanzania kuhusu Ivory Coast (wakati issue ya Ivory Coast ndio ilikuwa umepamba moto) akakwepa kiana. Akasizitiza human rights protectiion, bila hata kujua wiki ile ile Kikwete alikuwa South Afrika ku abolish SADC Human Rights Tribunal. Mwisho akaishia tuu kusifia foreign policy za utwala wa Nyerere.
Waislam waelewe hiyo ndiyo imetoka wasubiri tena 2015 maana wenzetu huwa wanaishi kwa mkate wa ahadi mwisho watastukia wako karne ya 23 na OIC wasiione.Akitoa ufafanuzi juu ya swali alilouliza Mbunge wa Lindi Mjini alilouliza kwamba Mh Membe hakutamka chochote kwenye hotuba ya makadirio ya Bajeti ya Wizara yake juu ya Tanzania kujiunga na OIC! Mh Membe alijibu kwamba Serikali haina jibu lolote kwa sababu suala hilo liliahirishwa hadi mwakani, 2012!
My take: Kama Membe anataka kugombea Urais, 2015 ili aendeleze "Islamic Agenda" aliyokuwa nayo JK, asahau kabisa urais mwaka 2015! Nawasilisha kwa mjadala!
nimejikuta nacheka sana peke yangu........kaka umesema ukweli mtupu.....huyu mpopo ni mbishi sana....huyu pamoja na jk wanaamini kuwa kuzurura nje ya nchi ni moja ya mafanikio katika nchi na ndiyo maan wakenya wansema hivi juu ya jk "Tanzanias Jakaya Kikwete, re-elected to a second term last year, will step down in four years. Hobbled with the reputation of a lazy, foreign-trip-loving president who is soft on corruption, Kikwete seems to be busy sprucing his image
OIC = Organization of "Islamic" Conference, sasa Wakristo wanahusikaje hapa?Waislam waelewe hiyo ndiyo imetoka wasubiri tena 2015 maana wenzetu huwa wanaishi kwa mkate wa ahadi mwisho watastukia wako karne ya 23 na OIC wasiione.
umeshiba kande sasa sheshe lake ni ndoto za mchana mwanangu, amka upo kati kati ya mji utachangamkiwa na vijana!Hii haitazuia Membe kuwa Rais 2015wanataka kumchafua
Membe ni chaguo la JK ndio maana anatajwa! So far kuna makundi 3: 1. Ikulu (Membe), 2. Lowasa, 3. CCJ (Sita).Sijui kwa nini watu mnapenda kumtaja Membe kuhusiana na urais 2015? Jamani!...Jamani!.... Membe si miongoni mwa watu wanaoweza kuisaidia nchi kuondokana na matatizo makubwa yaliyopo japokuwa nakiri anawezakuwa miongoni mwa magamba wanaovizia ulaji Ikulu. Nawashauri watanzania wajifunze kutokana na makosa waliyoyafanya kwa kumchagua JK na wanamtandao wenzake. Angalieni viongozi wanaofanya kazi zao vizuri na kuonesha nia safi kwa taifa lao kisha mpendekeze kwa kuwaomba wagombee na si kuangalia miongoni mwao nani anataka pasipo kujali kama wapo wengine wenye uwezo au la.Nakumbuka kabla JK kupata tiketi ya CCM mwaka 2005 baadhi ya watu walipendekeza Magufuli agombee lakini jamaa kwa tamaa zao wakamchafua kwa kashfa ya uuzaji wa nyumba na pengine ikachangia kumkatisha tamaa. Naamini tuliodhani Magufuli anafaa tulitazama rekodi yake pale anapopewa majukumu na si sura wala ushabiki wa watu wanaojiandaa kupata nafasi hiyo badala ya kuisaidia nchi kwanza ili tuone wanafaa.