BUNGENI: Wenje amlipua Membe; yeye atoa onyo kwa mabalozi!

Hapo penye rangi nadhani ulitaka kusema weak? Rudi darasani au tumia lugha ya Taifa siyo kukurupuka tu

Umeona week akiwa amekosea kusema weak na wewe kule juu umekosea na haraka zako aa kurusha matusi mbona hakuna aliye highlight ? Tumieni akili .Membe hawezi kuwa Rais never hana uwezo we know him.Tumefanya naye kazi .Ni mdhalimu sana ana beef na ma balozi wanao onyesha kuibana CCM na udhalimu wake .Hawezi hata iweje .
 
Mimi nashangaa mtu kulalamikia ziara za nje wakati hiyo ni sehemu ya ushirikiano wa kimataifa na linafanywa na kila nchi. Kwani Marekani inapotuma rais au waziri wake wa mambo ya nje kote duniani anatembeza bakuli? Ninachokiona hapa ni ama upeo mdogo wa shughuli za kimataifa au ni kutumiwa katika siasa za amji taka.
Tumia akili kufikiria,Huko Marekani Safari za Waziri wa MAMBO YA NJE zinazidi kwa mbali safari za Rais wake,Ndio kazi ya wizara ya Mambo ya nje.Sasa tuambie hapa Nyumbani Waziri wa Mambo ya Nje na Rais yupi amekuwa na safari nyingi kuliko mwenzie? na je Wizara hiyo haitengi pesa za safari za Waziri na kama ndio hizo pesa huishia wapi kama ndo Membe kila siku yupo hapa Bongo.
 
Mawe..na bado atakoma.sijui kwa nini membe ana-compromise masters yake ya international Relations.Huwa namuheshimu,he's intelligent but nadhani huwa linapokuja swala la maslahi yake linaenda beyond academic credentials. sasa sijui ni kwa nini anatoia accusation za kitoto namana hii kwa kupotosha maazimio ya vienna convetion juu ya kinga za mabalozi,na pia onyo la kutoingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine.ni8 lazima asome sheria za kimataifa vizuri,kinga zinazowalinda mabalozi na zinazolinda uhuru wa kutoingiliwa kwa mamabo ya ndani ya host countries imeelezwa.Sasa hapo ni kama vile kama anawatuhumu kwa Espionage,political participation,Internal affairs intervention,hostility acts,attempt on agression move,favouring political movements na pengine encouraging sub-nationalism,treason etc.

Huyu inabidi siku moja arudi shule ya diplomacy tena akasome Diplomacy foreign policy and National security hata kama alishawahi kufanya kazi UWT,asiogope matusi ya huyu Lecturere wa Galillee university -Israel,and for his own good inabidi akutane na Ambassador Dr. Yitzhak Gerberg.

Ben, you are a bright guy. tatizo lako ni ideology zako za kwenda msituni. hapo tu.
 
Mbopo ni kilaza sana,hauwezi ukalinganisha maana ya safari za Marekani na zile za Tanzania,popote unapomwona kiongozi wa US basi ujue ama anakagua majeshi yake,ama anaimport demokrasi,ama kuna mafuta na gesi,ama kuna madini ya aina mbalimbali,iwe Africa,Ulaya,Latina ama Asia hizo ndo nguzo kuu za safari za wamarekani i.e kuratibu masrahi ya nchi yao
Wacha kutukana watu wewe, Mbopo siyo Kilaza, yawezekana wewe ndo Kilaza ambaye huwezi kutumia tu ubongo wako mdogo kujua kwamba USA ni Taifa kubwa na halitegemei msaada toka TZ na henceforth hata ziara zao zinakuwa na mlengo tofauti na wetu. Naona vibaya kukufanulia jambo jepesi kama hili, nakushauri urudi darasani
 
Kuna tofauti kubwa sana tena sana kati ya mkopo na u-matonya! Anachoongelea Wenje ni hii tabia ya viongozi wetu wakuu kubisha hodi kwa wanaume wengine kila kukicha wakiomba hela ambazo kimsingi tuna uwezo wa kuzitapata kama tutaziba mianya ya ufujaji. Mfano Kama Balozi majaar anaomba Marekani yote Billioni 3 tatu ili kununua madawati kwa shule za kitanzania, huku Jairo anachangisha over a billion kupitisha bajeti! at the same time Ikulu inaleta budget yake ya mwaka 135 billion bila kueleza nini hasa kinanunuliwa na hizo bilioni! Na pia ukikomesha posho za wabunge within 2 months utakuwa tayari umenunua madawati yote anayoembea Balozi Majaar. Umatonya ni kasumba wala sio shida! Ni kukosa aibu!

EMT says Thank You for this useful post. Hivi kile kifute cha "Thank" kimepotelea wapi? Kuna tofauti kubwa kati ya "Like" na "Thank".
 
Umeona week akiwa amekosea kusema weak na wewe kule juu umekosea na haraka zako aa kurusha matusi mbona hakuna aliye highlight ? Tumieni akili .Membe hawezi kuwa Rais never hana uwezo we know him.Tumefanya naye kazi .Ni mdhalimu sana ana beef na ma balozi wanao onyesha kuibana CCM na udhalimu wake .Hawezi hata iweje .
wee nawe vipi tena? mbona unaingia kihivyo? amekwambia anataka kuwa Rais? ametangaza wapi? acha kukurupuka tumia akili mbwiga wewe
 
" Ukienda kuoa kwa sultani ukaongozana na Membe kama ni msemaji wako hakuna kitakachokushinda. Utapewa mke tu - maana membe ni bingwa wa kupamba hata kwenye chongo huita kengeza". John Magalle Shibuda wakati akichangia bajeti ya MFAIC!
 
Mawe..na bado atakoma.sijui kwa nini membe ana-compromise masters yake ya international Relations.Huwa namuheshimu,he's intelligent but nadhani huwa linapokuja swala la maslahi yake linaenda beyond academic credentials. sasa sijui ni kwa nini anatoia accusation za kitoto namana hii kwa kupotosha maazimio ya vienna convetion juu ya kinga za mabalozi,na pia onyo la kutoingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine.ni8 lazima asome sheria za kimataifa vizuri,kinga zinazowalinda mabalozi na zinazolinda uhuru wa kutoingiliwa kwa mamabo ya ndani ya host countries imeelezwa.Sasa hapo ni kama vile kama anawatuhumu kwa Espionage,political participation,Internal affairs intervention,hostility acts,attempt on agression move,favouring political movements na pengine encouraging sub-nationalism,treason etc.

Huyu inabidi siku moja arudi shule ya diplomacy tena akasome Diplomacy foreign policy and National security hata kama alishawahi kufanya kazi UWT,asiogope matusi ya huyu Lecturere wa Galillee university -Israel,and for his own good inabidi akutane na Ambassador Dr. Yitzhak Gerberg.

Akiwa London kwenye ile mikutano ya Diaspora aliulizwa foreign policy ya Tanzania akaanza kujichanganya. Akaanza kueleza pillars za foreign policy yetu. Alipo mention democracy akauliza nini msimamo wa Tanzania kuhusu Ivory Coast (wakati issue ya Ivory Coast ndio ilikuwa umepamba moto) akakwepa kiana. Akasizitiza human rights protectiion, bila hata kujua wiki ile ile Kikwete alikuwa South Afrika ku abolish SADC Human Rights Tribunal. Mwisho akaishia tuu kusifia foreign policy za utwala wa Nyerere.

Last edited by a moderator:
Mbopo ni kilaza sana,hauwezi ukalinganisha maana ya safari za Marekani na zile za Tanzania,popote unapomwona kiongozi wa US basi ujue ama anakagua majeshi yake,ama anaimport demokrasi,ama kuna mafuta na gesi,ama kuna madini ya aina mbalimbali,iwe Africa,Ulaya,Latina ama Asia hizo ndo nguzo kuu za safari za wamarekani i.e kuratibu masrahi ya nchi yao

Tofauti na nyinyi mnaojitembeza na Vasco wenu kila kukicha kama mbwa aliye kwenye'heat period',dunia nzima kila mnakopita mnapigiwa makofi ya uzandiki na dhihaka,hebu nenda pale Rwanda uangalie ni lini na wapi Kagame anakuwa nje ya nchi na matokeo yake kwa nchi yake.Mbopo jifunze somo linaitwa Comperative politics utaweza kuondoa ujinga

nimejikuta nacheka sana peke yangu........kaka umesema ukweli mtupu.....huyu mpopo ni mbishi sana....huyu pamoja na jk wanaamini kuwa kuzurura nje ya nchi ni moja ya mafanikio katika nchi na ndiyo maan wakenya wansema hivi juu ya jk "Tanzania's Jakaya Kikwete, re-elected to a second term last year, will step down in four years. Hobbled with the reputation of a lazy, foreign-trip-loving president who is soft on corruption, Kikwete seems to be busy sprucing his image
 
Kuna tofauti kubwa sana tena sana kati ya mkopo na u-matonya! Anachoongelea Wenje ni hii tabia ya viongozi wetu wakuu kubisha hodi kwa wanaume wengine kila kukicha wakiomba hela ambazo kimsingi tuna uwezo wa kuzitapata kama tutaziba mianya ya ufujaji. Mfano Kama Balozi majaar anaomba Marekani yote Billioni 3 tatu ili kununua madawati kwa shule za kitanzania, huku Jairo anachangisha over a billion kupitisha bajeti! at the same time Ikulu inaleta budget yake ya mwaka 135 billion bila kueleza nini hasa kinanunuliwa na hizo bilioni! Na pia ukikomesha posho za wabunge within 2 months utakuwa tayari umenunua madawati yote anayoembea Balozi Majaar. Umatonya ni kasumba wala sio shida! Ni kukosa aibu![/QUOTE]

nakuunga mkono mkuu..uko sahihi kabisa na huu ni ukweli mtupu

Ni Wizi sio aibu tu!!
 
Kuna tofauti kubwa sana tena sana kati ya mkopo na u-matonya! Anachoongelea Wenje ni hii tabia ya viongozi wetu wakuu kubisha hodi kwa wanaume wengine kila kukicha wakiomba hela ambazo kimsingi tuna uwezo wa kuzitapata kama tutaziba mianya ya ufujaji. Mfano Kama Balozi majaar anaomba Marekani yote Billioni 3 tatu ili kununua madawati kwa shule za kitanzania, huku Jairo anachangisha over a billion kupitisha bajeti! at the same time Ikulu inaleta budget yake ya mwaka 135 billion bila kueleza nini hasa kinanunuliwa na hizo bilioni! Na pia ukikomesha posho za wabunge within 2 months utakuwa tayari umenunua madawati yote anayoembea Balozi Majaar. Umatonya ni kasumba wala sio shida! Ni kukosa aibu!
Salute sana mkuu wangu, sijui kwanin mods hawarudishi 'thanks'.kuna haja ya kuwafanyia operesheni baadhi ya watu kuchunguza ndani ya vichwa vya kuna kitu gani,nahisi wengine kuna utumbo wenye kiny€$i ndani badala ya ubongo.Haiwezekani mtu mzima na akili zako kushabikia nchi kua ombaomba.
 
Mimi napenda kuikumbusha serikali kuwa Tanzania ni ya watanzania na si ya ccm wala chadema hao mabalozi hawawakilishi majimbo bali nchi so wanapokuwa nchini wako free kujimuvuzisha kwenye jimbo lolote bila kujali ni la upinzani au la chama tawala.
 
Ningeshangaa sana kama Mbopo alias Hans Mwambene ungekosekana kufatilia mjadala huu na kumuacha mgombea wetu abaki peke yake. ViVA Mbopo Viva, Viva Mwambene Viva na Viva Membe viva safari hii hadi ikulu. Mtabaki na vijiba vya myo na fedha tunaendelea kutafuna ziara kama kawaa.

pole sana kwa hizo ndoto uziotazo; kama ni posho malizia malizia maana muda umebaki mdogo nchi yetu kukombolewa kutoka mikononi mwa mafisadi...Hizo sufuria za nyma za Misri hata ukizitamani hutaziona tena wenzako tumefika kingo za mto Yordan japo umefurika sisi lazima tuvuke kuifikia Kaanani...
 
Pia wamelipua safari za nje, kuwa nyingi ni za kutembeza bakuli, kitendo ambacho kinalidhalilisha taifa.
Wenje amesema, Taifa letu linajulikana sana ulimwenguni kwa kwa kuwa moja ya nchi ambazo zinatembeza bakuli kwa sana huku likibaki ni moja ya mataifa masikini sana Duniani!

Sasa hapa ndipo ile kauli yao ya kuwaita wanazania ni wavivu inajithihirisha ya kuwa wao ni wavivu wavivu hata kufikiri. Hili bakuli lao wanalotembeza kila kikicha halishibi tu kila kona utalikuta, kwa wananchi malalamiko kibao michango haiishi, bandarini mizengwe kama shamba lao wameweka pale kwa ajili ya kuvuna. Watanzania tulilogwa kuichagua CCM, waache wavute manati yao lakini ndege mjanja hawatampata. Watanzania wajanja walisha waacha so, wahangaike mpaka wachoke na libakuli lao. Nchi nyingine wanatafuta jinsi ya kuwa nyanyia watu wao, wao ni kupiga wananchi manati tu ili wapate pesa za kutoa hongo.

Kuna kitabu cha VERONICA GUERIN, AMBAE ALIKUWA MWANDISHI ALIPIGANIA NCHI YAO YA ISLAND AMBAYO ILIKUWA NA SIASA KAMA ZA TANZANIA LAKINI WALIMUUA NA UKWELI UKABAKI PALEPALE. Angalini kwenye youtube hapa na endelea kutafuta kama alivyoweza kuinusuru nchi yake japo alijua yatakayomtokea. Angalia na wikipedia ya veronica.

1. Veronica Guerin (Field of Athenry)
Haya maneno yanauma sana lakini ukombozi na mabadiliko lazima tunayahitaji.
[/h]

2. 02/02/97: Veronica Guerin

3. Veronica Guerin (film)

Mungu ibariki TANZANIA NA WATU WAKE HARUFU ILIYOPO SIO YA KUJIVUNIA.
 
Back
Top Bottom