Elections 2010 Bungeni: Upinzani wapendekeza serikali 3 Tanzania

Hakuna anayeweza kukutazama kwa mtazamo chanya kama mawazo yako yamejaa udini na u-ccm ccm tu!

Udini ndio nini? Mimi nna dini yangu, mimi ni Muislaam, Jee, kuwa MuIslaam ndio udini wenyewe au?

Kuwa ccm au cdm haimfanyi mtu kuwa bora au si bora zaidi ya mwenzake, au fikira zako mtu akiiba serikalini mimi nnampenda tu kwa kuwa yuko ccm? au mtu asilipe kodi za serikali ilhali kipato chake kikubwa kuliko wewe na unalipa kodi halafu wewe utampenda tu kwa kuwa yuko cdm? hapo tutakuwa hatujitendei haki. Au wewe unaonaje?

Kuhusu udini, hivi wewe ni dini ipi? na unajijuaje kuwa wewe si mdini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom