Bungeni: Sugu awachana wabunge Vijana wa CCM na kawahusisha na utekaji wa Dr. Ulimboka

mnyika anaonge tumekatiwa sauti bubububu huu ni uonezi.
 
hivi hawa wabunge wetu wamesoma chini ya mwembe nini? inakuwaje mtu anaruhusiwa kuropoka maneno ya machafuko yasiyo kuwa na facts zozote? hivi haoni majambazi kibao wenye bunduki tena mpaka za kijeshi?
hao ndio wanaoendekeza radio mbao!!!!
 
Kafafanua jinsi mwenyekiti anavyopindua mambo kutaka kumnyamazisha sugu......kasema huwezi ukasema mbunge afute kauli yake kwamba anachoongea ni uwongo bungeni unless wewe uliyesema anasema uwongo bungeni umedhibitisha ukweli ndipo muhusika afute kauli yake.........

Lissu yuko sahihi kabisa na kama wana akili hawa waongoza vikao vya bunge wanatakiwa kujifunza sheria. Huwezi kumshitaki mtu kuwa ni mwizi halafu ukategemea hakimu atoe adhabu bila ya wewe kuthibitisha huo wizi beyond reasonable doubt.

Kama Mh Mary Nagu anaona kuwa Sugu kasema uwongo anakuwa na wajibu wa kuthibitisha huo uwongo na sio the other way round. Hivi hii nchi tunaongozwa na watu gani? Waziri mzima anashindwa kuelewa something so basic atawezeji kujadili mikataba?
 
Naona Mnyika amepiga misumari ya kichwa!

CDM wanajua kuwachanganya magamba!

Kiganyi, JF.
www,wotepamoja.com
 
Siku hizi imekua fashion kutolewa bungeni, sifa ni mbaya sana. Mtu kama sugu anapewa nafasi ya kuongea kweli. Tanzania imekwisha jamani. Mpaka wapuuzi wamo bungeni
 
JAMANI RITZ anamisi sana katika huu mjadala, au ndo kafuatilia posho yake kwa nape, te te te ...
 
hivi hawa wabunge wetu wamesoma chini ya mwembe nini? inakuwaje mtu anaruhusiwa kuropoka maneno ya machafuko yasiyo kuwa na facts zozote? hivi haoni majambazi kibao wenye bunduki tena mpaka za kijeshi?
hao ndio wanaoendekeza radio mbao!!!!
Aliyekamatwa na bunduki ya kijeshi tena SMG mbili ni Adam Malima.Au unamaanisha CCM wamemteka maana ndo wanamiliki bunduki za kivita. Unamkumbuka Ditopile?Gamba wewe.
 
Duh!Umeme ulizima ghafla bungeni,ikaishia hii ndiyo serikali bwana...........
 
Siku hizi imekua fashion kutolewa bungeni, sifa ni mbaya sana. Mtu kama sugu anapewa nafasi ya kuongea kweli. Tanzania imekwisha jamani. Mpaka wapuuzi wamo bungeni

Ebu yasome tena uliyoyaandika alafu ujitafakari kama una akili timamu
 
Hii nimeisikia kwa masikio yangu akisema hvy kipindi ambacho Eng Stella akimwaga pumba bungeni mh Sugu akasema oyaaaaaaaa oyaaaaaaaa duh bado kdo watachapana makonde bungeni!
 
Back
Top Bottom