Bungeni: Shibuda aongelea hatma yake ndani ya CHADEMA!

<font color="#a52a2a"><b>Wewe wana Maswa huwajui na katu hutowajua maishani mwako. Hakuna mtu aliyekuwa anaijua CDM Maswa kama Shibuda asinge washika mkono na kuwapeleka, acheni kudanganya watu nyie aliye waita mavuvuzela na matarumbeta</b></font>
Magamba leo naona mmezinduka kujaza mijipost yenu!Damn dogs.
 
Tusikurupuke. Sheria ya kinga ya bunge inamlinda. Tumsubiri abwatuke nje akione cha mtema kuni. Basi tutoe maamuzi ya kisheria. Sheria inamlinda sana. Akithubutu akaongea ujinga amekwenda
 
Natamani Shibuda angekuwa amefukuzwa kabla ya hata madiwani wa Arusha..Na kama CDM watachelewa kumfukuza atakuja kuwaharibia zaidi kwenye uchaguzi ujao. I think mwisho wake uwe baada ya kikao cha budget iwe mwisho wake kuingia mjengoni. Tunataka wabunge wanaoleta hoja na mapinduzi ya maendeleo na siyo wabunge wanaoendekeza siasa na misuguano ya chama...
 
Shule saa nyingine inasaidia saana
Huyu msukuma angekuwa ameenda shule asingekuwa anafikiria kwa kutumia Masaburi
Na kama hana shule kama unavyotaka kutuaminisha kwa nini CDM walimfuata? Ina maana walikosa wasomi au ungeenda wewe msomi mkubwa uone jinsi wasukuma wangekubwaga
 
Shibuda aichana chana CHADEMA, hivi chadema ni nguo, karatasi au kitu gani mpaka ichanwechanwe??? ma great thinker wanaotumia MASABURI BANA......

Akichangia hoja ya Maliasili na Utalii bungeni leo,amerudia kauli yake ya malipo ya Muha iliyopingana na msimamo wa Cdm. Amesema kuna viongoz maslahi na yeye hatishwi na mavuvuzela.Mimi sio tundapoli hata wanamaswa wanajua. Ameichana cdm kwa mafumbo makalimakali na kusema haogopi chochote.Msije kutuletea viongoz Idd Amin kwa kuelekezwa na siasa za chuki na kutumia vyombo vya habari.
 
Kuhusu suala la lake la kuenguliwa kasema hamuogopi mtu kachaguliwa na wana Maswa.

I wish i could find a proper word to describe this 'politically-bankrupt and insane creature'. CHADEMA, please get rid of this freak before he ruins our party.
 
Unawajua kwani wewe ni Basha au Shoga la Kike?

Haya ya kujuana juana, upuuzi mtupu. Labda kama Maswa wanaKUJUA wewe.

Mhh, GeniusBrain anawajua Wana Maswa. GeniusBrain anaMJUA SHIBUDA. Adam akamjua Mkewe Eva, wakazaa mtoto...
Wewe wana Maswa huwajui na katu hutowajua maishani mwako. Hakuna mtu aliyekuwa anaijua CDM Maswa kama Shibuda asinge washika mkono na kuwapeleka, acheni kudanganya watu nyie aliye waita mavuvuzela na matarumbeta
 
Na kama hana shule kama unavyotaka kutuaminisha kwa nini CDM walimfuata? Ina maana walikosa wasomi au ungeenda wewe msomi mkubwa uone jinsi wasukuma wangekubwaga
Umeng'ang'ania na usukuma kana kwamba Shibuda ndio Msukuma pekee ndani ya Chadema. Hivi Opulukwa wa Meatu na Kasumbilai wa Maswa Mashariki sio wasukuma? Na Kiwia wa Ilemela je?
 
Niliwaambia CHADEMA kuwa hakuna haja ya kumpa siku 90 Shibuda (kama magamba), just damp him and move on...<br />
<br />
Kwa kweli CDM wameshaniudhi sasa. Ishu ya madiwani wa Arusha iliibuka nyuma kabisa ya upuuzi wa Shibuda, lakini ikashughulikiwa fastafasta. Wanamuogopea nini huyu? Bora hilo jimbo lipotee? Kwani CHADEMA haijiamini?
<br />
<br />
It is too late!
 
Jamani kinachoendelea sasa kuhusu huu mjadala ni mpango mahsusi wa CCM wa kuchochea mgogoro kati ya Shibuda na viongozi wenzake ili ukikomaa wamuue Shibuda kisha wawasingizie Chadema kuwa ndiyo waliomuua, mkakati huu CCM waliwahi kuutumia kwa Chacha Wangwe, sasa wanataka wajaribu tena bahati yao, sasa Shibuda shauri yake kama atacheza ngoma hii ambayo itampeleka kaburini.Hebu angalieni Genius Brain anavyochangia kwa nguvu siyo bure kuna kitu kinapikwa, jamani CCM ni magaidi.
Ndg yangu Douglas ni kweli unachosema, hawa CCM ni hodari wa kampein za propoganda, kama Shibuda ana akili asiwasikilize watamuua. Akumbuke kifo cha Chacha Wangwe walianza hivi hivi!!!!!!!!!! Wana CDM, viongozi na Mh Shibuda chunga saana akumulikaye mchana usiku atakuchoma!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Magwanda leo mmelala, hahahaha! Mmezoea kujaza ujinga wenu hapa
Mnashabikia ujinga na upumbavu!yaani your so idiot!,great damn!hamna lolote zaidi ya kutujazia ujinga badala ya kuongelea mambo yenye manufaa!Magamba bwana mh!hata kwa maji ya moto hayazinduki
 
aliwazalo mjinga ndilo litalomtokea
Akichangia hoja ya Maliasili na Utalii bungeni leo,amerudia kauli yake ya malipo ya Muha iliyopingana na msimamo wa Cdm. Amesema kuna viongoz maslahi na yeye hatishwi na mavuvuzela.Mimi sio tundapoli hata wanamaswa wanajua. Ameichana cdm kwa mafumbo makalimakali na kusema haogopi chochote.Msije kutuletea viongoz Idd Amin kwa kuelekezwa na siasa za chuki na kutumia vyombo vya habari.
 
Naamini katika kutatua migogoro kwa njia ya busara stahili na wakati sahihi ukifika ambao pia ninaamini umekaribia sana basi hatutaendelea kuwa na shibuda ndani ya CDM
 
Back
Top Bottom