Naona mwenyekiti ameanza kusoma,kama kawaida kumshukuru Lt Kanal Kikwete,mke wake,watoto wake na wapiga kura wake
...mwisho wa wiki mkuu 'kazi' nyingi. Usiku mrefu.
Jana alikesha Club na Vitoto vya UDOM
Huyu Jairo hachomoki
Kabla hata nusu ya ripoti hii haijasomwa; tayari namuona Ngeleja akiachia ngazi!!
Jana alikesha Club na Vitoto vya UDOM
Nahic alikuwa 84 au club la azizJana alikesha Club na Vitoto vya UDOM
jairo naye kumbe yupo bungeni.hii inaashiria nin?
Kwa walio mbali link ya TBC radio ni: VosCast - SHOUTcast Hosting
Kwa walio mbali link ya TBC radio ni: VosCast - SHOUTcast Hosting
January Makamba nae huyoo, namuona akila shavu!!!