Bungeni: Ripoti ya Jairo yawasilishwa, wabunge wachachamaa!

Hapa hakuna lolote hapa! kuna kila dalili kuwa hili ni changa la macho tu!


mkuu wahi kitimoto cha watoto....waache senior citizen wafanye mambo!!! wengine sijui tuko kundi gan lol!!!
 
Hapa sielewi kitu, anasema jumla ya fedha zilizokusanywa kwaajiri ya bajeti ni mil450 tu, mh hapa sijui itakuwaje, tutegemee miujiza kwel?
 
Tayari jairo kisha nasa, mkaguzi mkuu wa serikali kisha kataa kuwa huo si utaratibu na makatibu wakuu waliohojiwa na wamekana kuwa huo sio utaratibu. utoh amedai kuwa ataanzisha utaratibu wa kukagua hiyo kitu ya jairo
 
kamati imejiridhisha kuwa huu sii utaratibu wa kawaida. anatoa ushahidi ya marejeo yaliyotoa matokeo haya.
 
Mmmmh wanafikia kileleni kwenye hii filamu kisha wanaanza hadithi nyingine
 
Tayari jairo kimenuka, ngoja tusikie kuhusu ngeleja na malima watakamatwaje
 
Anasema kamati ilijiridhisha kuwa uchangishaji huo haukuwa utaratibu wa kawaida kwa vile hata CAG hajawahi ku-audit mahesabu hayo.
Tafsiri yake kwangu - Jairo tayari amekaangwa
 
Ccm watafanya kama kawaida yao? Pia spika alitaka mjadala wa katiba uendelee mpaka wiki ijayo ili aendelee kuvuna posho hee! Na ashindwe
 
anazidi kukandamizia kuwa the whole thing was not proper, na sio utaratibu halali and not proper
 
anatumia kifungu na. 53.1 cha sheria ya fedha ya umma kinachozuia huo ufisadi wa jairo. Kwamba kwa vyovyote hesabu ya huo ufisadi usingeonekana kwenye ukaguzi. Mtajulishwa utumbo wa ngeleja, kwa jairo kimeshanuka tungojee tu majumuisho
 
Tayari jairo kisha nasa, mkaguzi mkuu wa serikali kisha kataa kuwa huo si utaratibu na makatibu wakuu waliohojiwa na wamekana kuwa huo sio utaratibu. utoh amedai kuwa ataanzisha utaratibu wa kukagua hiyo kitu ya jairo


ngoja nisikilize hadi mwisho......maana jana kuna jamaa amerelease movie yake huko ukumbi wa PTA na leo huenda kuna nyingine
 
Mapato na matumizi ya fedha zilizokusanywa na Jairo hayatapatikana katika mahesabu kwa vile ilikuwa nje ya utaratibu ulioidhinishwa.
Jairo kimenuka
 
Back
Top Bottom