Bungeni raha

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Angalia hapo alipoweka mkono wa kulia,kaegesha mkono kwenye meza akisikia wenzake wanapiga makofi na yeye anaunganisha
557025_359732130763895_1843516695_n.jpg
 
Jamani amekunywa dawa za mafua.. zinasababisha kausingizi kidogo tu japo dakika moja!:sleepy::sleepy:
 
ila wabunge wetu wanakaa kwa starehe ukiangalia mabunge mengine, wanakaa kwa shida nafasi ndogo, bunge la Kenya lenyewe dogo wanabanana ila sisi tumevunja rekodi.
 
Mkuu nimecheka sana,mbali na kuunganisha hapo kuna hatari ya kuota wanapiga makofi halafu akajikuta amewatangulia wenzake.
 
Hahahahaaaa, hajalala ila anaconserve energy ya kuona aihamishie kwenye kusikia ili hoja zinazotolewa ziingie vizuri, au mzee jana alipiga sana mtindi kisha kavuta kamzigo kamemkimbiza ucku kucha.
 
Halafu unajua hawa vijana wa M4C hoja zao nzito mno, ona sasa wanawanyima usingizi usiku wazee wetu matokeo yake wanapiga siesta mjengoni bana.
 
Najiuliza Bosi wangu akinikuta wakati wa kazi nimepiga usingizi kwa style hiyo atanichukulia hatua gani?
Sasa niwaulize mabosi wa Sitta ambao ni wananchi wa Urambo,jee mnamchukulia hatua gani mtumishi wenu huyo?
 
ila wabunge wetu wanakaa kwa starehe ukiangalia mabunge mengine, wanakaa kwa shida nafasi ndogo, bunge la Kenya lenyewe dogo wanabanana ila sisi tumevunja rekodi.

na ndo maana ukiangalia mabunge ya wenzetu huwezi kuona eti mb kalala! hapa kwetu maraha yamezidi. wangebene kama kule kenya ,nk. hakuna ambaye angelala.
 
Back
Top Bottom