Bungeni: Ngonjera yaendelea! Wabunge waendeleza mipasho dhidi ya CHADEMA (Nov 17)

Status
Not open for further replies.
shetani alikuwa akigawa ukilaza kidogo kidogo killa kwa mwanadamu ILA ALIPOFIKA KWA LUSINDE kapu likamponyoka ukilaza wooooote uliobaki ukamwingia LUSINDE.

LUSINDE ni kilaza sjawai asiyeelezeka

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!! Hii kali mkuu..lol!! mbavu zimevunjika wangu.
 
alichoongea Lusinde ni sawa kabisa,ni kwa vile tu ni mwanaccm ndo maana umeona haina maana,Lusinde alijipanga na kaongea vioni vitupu.
 
Kati ya madebe tupu bungeni ambayo yanapiga kele kwa sana, jamaa ni mmoja wao, professional yake ni MC maarufu wa sherehe hapo Dodoma, ile misifa ya msema chochote ndio anaitumia mpaka bungeni!
 
acheni ujinga humu ndani,yani mnajadili vitu kama vitoto vya chekechea,mnaboa kinyama.
 
chadema kazi ipo,kumbe kuna undugulization kwenye viti vya ubunge vya chadema,FULL WABAGUZI.
 
huyu jamaa badala ya kuongelea katiba ye anawatukana cdm.lusinde inaoneka lisu anakukosesha usingizi sana,pole sana roho inakuuma ccm inavyokufa hahahahahahahahaha

It sounds hii ni ndoto nzuri kwa wengi....bila Znz you still hv a long way to go.

I dare kuheshimu maoni ya watu...
 
..Jamaa kaanza kuchangia kwa mipasho kama kawaida.Anasema anaomba tumuongezee muda JK kwa miaka 2 baada ya 2015 ili aweke mambo sawa ya katiba na baadae tufanye uchaguzi 2017..na akasema mwanaume mwenye sharubu ni JK pekee na si vinginevyo....

heee.......... Huyu mbunge anakameruniwa?
 
Hawa wabunge wa CCM ni mufilisi kweli kweli. Kuna baadhi ya wabunge nilikuwa nawaheshimu lakini baada ya kusikia mchango wao kuhusu mchakato wa katiba nimeondoa heshima yangu kwao. Wanaongea pumba huku wakionesha chuki ya waziwazi dhidi ya Chadema, bila kujali umuhimu wa hoja walizotoa kuhusiana na mchakato huu muhimu. Hawa wa CUF ndio wanaudhi zaidi kwani sidhani kama hata wanajua wanachokisema. Inakera kuwasikiliza na Kwa kweli wanajiaibisha sana!
 
Huyu Jamaa ilikuwaje akamwangusha Mzee Malecela?

Mkuu hata mimi najiuliza hata nakosa jibu..sijui upepo gani ulipita Mtera..hana hekima kabisa yaani kaongea uharo dk 15 zote halafu akaunga mkono hoja.
 
Hii nchi aslimia ya wapumbavu bado ni kubwa sana,alakini hakuna noma wala nini CHADEMA tutatoboa tu.
 
Lusinde kweli vuvuzela,anabwabwaja tu,hivi huyu jamaa ana elimu gan?tusije tukawa tunamlaumu kumbe ni kichaa
 
acheni ujinga humu ndani,yani mnajadili vitu kama vitoto vya chekechea,mnaboa kinyama.

Una matatizo makubwa sana ya akili..ungeona na kusikia alichokuwa anaongea usingesema huu upuuzi wako....
 
CHADEMA tutawaletea bunge lenye mashiko na la ukombozi wa kweli na matumaini kwa kila mwananchi mpenda maendeleo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom