Bungeni: Mwigulu Nchemba achafua hali ya hewa!

Aisee kumbe Mwigulu Mchemba hana akili kabisa. Anahitaji kupelekwa Mirembe CCM inakufa anaamua kutupa matope Bungeni kutukana upinzani waigizaji na vichaa na eti wana pepo mtaka vyeo. Hasira zake nafikiri ni failure kule arumeru. Anataka kurudia yale ya Lusinde arumeru ama kweli CCM imekwisha. Ametupa bajeti ya Upinzani na kuiita rubbish


Ukweli ni kuwa TUNDU LISSU kawatoa kwenye hoja kwa kuvuruga saikolojia yao. Na hii si mara ya kwanza, mara zote TUNDU LISSU uwa anawavuruga wabunge wa Chama Cha Majambazi (CCM). Wakati wa Mswada wa mabadiliko ya katiba alipotoa hotuba walivurugwa kabisa. Uwezo wa kujenga hoja na kuzitetea kwa Mwigulu, Lusinde na Komba ni mdogo sana na ukweli ni kuwa ni vilaza.
 
Lissu: Silly government, kila mwaka inaandaliwa bajeti isiyokidhi vigezo, aibu kwa wabunge, aibu kwa watoto wetu, aibu kwa serikali, aibu kwa chama tawala. Serikali imekuwa na miungu wanaowaita wawekezaji, ukisema kitu, wanasema waacheni msiwaguse wawekezaji, silly government, shame to the parliament, shame to the government, shame to our children.

Mwigulu: ops budget completely rubish, wapinzani wamejaa usanii, wana pepo mtaka vyeo.

Komba: kabla wabunge hawajaingia humu wanatakiwa wapelekwe mirembe wakapimwe akili.


Nani katukana na nani kasema ukweli? Au ukweli nao ni matusi?

When is 2015? Tired of this tyrant government!
 
Budget itapita kama kawaida,hizo kelele ni changamsha genge tu. Tumetaka wabunge vijana sasa tuvumilie usanii wao.
 
Aisee kumbe Mwigulu Nchemba hana akili kabisa. Anahitaji kupelekwa Mirembe CCM inakufa anaamua kutupa matope Bungeni kutukana upinzani waigizaji na vichaa na eti wana pepo mtaka vyeo.

Hasira zake nafikiri ni failure kule arumeru. Anataka kurudia yale ya Lusinde arumeru ama kweli CCM imekwisha. Ametupa bajeti ya Upinzani na kuiita rubbish

Anadai ni muchumi wa Benki Kuu daraja la kwanza - mtaalamu wa uchumi. Kama utaalamu wa uchumi uko tu kuwaaminisha Watanzania kwenye takwimu wakati maisha yao yanaendelea kuwa duni naona ana tatizo kubwa kichwani. Kama ni mwanauchumi kweli na anaamini bujeti imeandaliwa kitaalamu kama anavyodai kwa nini wailete bungeni kama imetayarishwa kitaalamu na haihitaji mchango wa wengine wenye maoni tofauti na utaalamu wao? Niliona kama aina fulani ya 'intellectual masturbation'!
 
Jamani hivi tuna wabunge wanaowakilisha wananchi au watu wakilisha wananchi


Mheshimiwa komba anasema anaunga hoja hapo hapo anasema jimboni kwake ni masikini sana hivi ni akili au ni matope unaunga hoja hapo hapo unajifunga mwenyewe

Kiukweli ccm hakuna watu kuna wachumia tumboni

Aibu yao subiri kesho watajua nini watanzania tunataka
 
Tundu lisu alivyosimama kuchangia hoja aliamua kuita serikali imerudia silly bajeti (tafsiri isiyo rasmi ni bajeti ya upuuzi)na aliamua kukiita chama ni silly,sasa Nchemba mwigulu naye akachangia kwa kusema kuwa kuna wanasheria wamesomea uchawi na waendesha madisco wameingia bungeni,kapteni komba(mwimbaji)yeye akasema kuna vichaa wamepotea njia badala ya kwenda milembe kwanza ndo waje bungeni wao wamekuja bungeni na kuomba wakapimwe kwanza akiri zao.
Hili ndo bunge lenye kurushiana maneno ya mipasho

Jamani siasa ni kucheza nyakati tundu lissu kaamua kuwatega magamba wameshategeka aliamua kuwaondoa kwenye mood then mwisho wa siku ukiwaleta LISSU, KOMBA NA HUYU CHEMBA UTAGUNDUA MJINGA NI NANI WAMEINGIA MKENGE WENYEWE THATS Y LISSU ALIFURAHIA BAADA YA WAJINGA KUPOTEZA MUELEKEO,
 
Hakuna kitu kibaya kama kujua siku utakayokufa. Mwigulu yuko very aware kwamba ifikapo 2015 CCM iliyoanza kuvunjika vunjika vipande na kuwa ICU bila kuwa na dalili za ku-recover itakufa rasmi. Mwigulu hii inampa hasira sana na nahisi kesho ataingia na kisu au jambia ni vema wabunge wakakaguliwa ipasavyo kabla ya kuingia bungeni kesho.
 
hakuna wananchi wanaoishi ktk lindi la umasikini wa kutupa kama iramba kwa mwigulu!
 
Amedhalilisha Umma wa watanzania na adhabu yake haiko mbali. Mi nawashangaa sana wabunge jamii ya nchemba anaunga mkono hoja 100% Baada ya hapo anaanza kuilalamikia serikari eti jimboni kwake bajeti ile haikutenga fedha sa hapo ndo unaweza jua mwenda wazimu na msanii ni nani

Wewe hujajua ni kwanini wanafanya hivyo?wanafanya hivyo ili wapate favour mbalimbali kwa Jk pamoja chama chao na kingine wanajidai kuongelea mambo ya jimboni mwao ili wananchi wa jimboni kwake waone kuwa wanatetewa na m'bunge wao na akirudi katika kampeni atawaambia kuwa alikuwa akiwatetea lakini muda haukutosha serikali itekeleze na atawaomba wamchague ili awalete maendeleo zaidi na kasi zaidi. HAPO NDIPO WANANCHI WANAPOKUWA WAJINGA NA WAPUMBAVU KUKUBALI KUMRUDISHA M'BUNGE AMBAYE HAJAFANYA CHOCHOTE ZAIDI KUPITISHA UJINGA PAMOJA NA KUGONGA MEZA KUKUBALI KILA KITU.
 
Anadai ni muchumi wa Benki Kuu daraja la kwanza - mtaalamu wa uchumi. Kama utaalamu wa uchumi uko tu kuwaaminisha Watanzania kwenye takwimu wakati maisha yao yanaendelea kuwa duni naona ana tatizo kubwa kichwani. Kama ni mwanauchumi kweli na anaamini bujeti imeandaliwa kitaalamu kama anavyodai kwa nini wailete bungeni kama imetayarishwa kitaalamu na haihitaji mchango wa wengine wenye maoni tofauti na utaalamu wao? Niliona kama aina fulani ya 'intellectual masturbation'!
UCHUMI GRADE ONE HAUTOKANI NA KARATASI(cheti) BALI MATERIAL ILIYOPO KICHWANI PROFESSOR WA UCHUMI ANAYEESHIMIKA DUNIANI WALIOSOMA KIUKWELI BILA DOT COM LIPUMBA KAIPONDA ATAKUWA YEYE KILAZA CHEMBA
 
Dah huyu jamaa Mwigulu Nchemba ameongea matusi sana, ingawa nimemfurahia kidogo Mwenyekiti alijitahidi ku-balance mambo.
 
Jamani kunawatu wengine kama KOMBA pia shule yake ndogo sana hana uwezo wa kuchambua na kutafakari mambo kitaalam,kama niuwanjani komba,lusinde ......... Washangiliaji. Wasiojua hata sheria ya mpira.
 
Jamani siasa ni kucheza nyakati tundu lissu kaamua kuwatega magamba wameshategeka aliamua kuwaondoa kwenye mood then mwisho wa siku ukiwaleta LISSU, KOMBA NA HUYU CHEMBA UTAGUNDUA MJINGA NI NANI WAMEINGIA MKENGE WENYEWE THATS Y LISSU ALIFURAHIA BAADA YA WAJINGA KUPOTEZA MUELEKEO,

umeme ulizima kwetu kama kawaida kwetu lissu aliwatega vp?
 
Back
Top Bottom