Bungeni: Mwigulu Nchemba achafua hali ya hewa!

jamaa anahasira za arumeru mashariki hana akili huyu cjui mnyeramba wa wapi? Jitu zima hovyooooo cjui anadhan wananch wanataka mipasho mwisho wao tayar
 
yeye na mzee wa mitusi lusinde wote kapu moja, hawana jipya, eti badget immeandaliwa na wataalam kwani wataalamu hawa kosei shame on mwigulu,, shame on ccccc for selecting rabish people like mwigulu.............
 
Bora wazipige watie adabu,kwa matusi haya na ushabiki wa kisiasa kweli wananchi tutaambulia kitu kweli,bajeti ni mbofu mbofu ila ccm wanaunga mkono mia kwa mia.

Komba asema watakufa kwakua upinzani kuna ngumi chache na ccm kuna ngumi nyingi!
Wabunge wetu wanapaswa kuwa na uvumilivu katika hoja maana bunge linapoteza sifa stahili!
 
Aisee kumbe Mwigulu Mchemba hana akili kabisa. Anahitaji kupelekwa Mirembe CCM inakufa anaamua kutupa matope Bungeni kutukana upinzani waigizaji na vichaa na eti wana pepo mtaka vyeo. Hasira zake nafikiri ni failure kule arumeru. Anataka kurudia yale ya Lusinde arumeru ama kweli CCM imekwisha. Ametupa bajeti ya Upinzani na kuiita rubbish

Macho na masikio yangu kesho, mh lusinde atakuwa mzungumzaji wa kwanza....
 
First class ever in Tz Nchemba. Mapenzi ya chama na usomi wakati huko singida kwao watu wanajua na wanaona ni kujivua nguo. Usomi huendana na ustaarabu jamaa katoa mapovu sana du.
 
Nchemba kwa jumla kachemka..kuna haja gani ya kuita OC kwenye budget.. Tunataka detail in tuweze kufanya tracking. Sioni kama sensa ni kitu cha kuandikwa OC au katiba mpya tuseme ni OC..hivi vyote vinahitaji kunyambulishwa, tuache siasa jamani. Hata hivyo mbona waziri hakuvitaja ila wabunge wameanza kuhoji ndio tuanaanza kutafuta sababu.. Bado nina wasiwasi na hii OC ya Nchemba.
 
Mwigulu anataka kuwazamisha wabunge wa CCM wakiwa wanacheka wakidhani wako salama.

1. Anasema OC ni kwa ajili ya mambo kama katiba mpya, kulipia fidia watu wanaohamishwa. Sasa kwanini wasitaje ni kiasi gani kinaenda kwenye fidia au katiba badala ya kusema OC? Nini maana ya budget kama husemi how much is going kwenye kila area? Kila mtu anajua OC ndiko watu wanakula.

2. Mwigulu anasema ahadi ya serikali katika mpango wa maendeleo 2011/16 kutenga 35% inajumulisha human capital investiment yaani kusomesha wanafunzi! hivyo serikali kuweka 30% ni kwamba hiyo nyongeza ya 5% inakuwa kwenye human capital. Kama ndivyo kwa nini serikali ilisema 35% na sasa wanajitetea kuwa kuna human capital investment baada ya kubanwa kutenga hela hafifu?

3. Lakini kubwa, Mwigulu anaweza kusema kwa nini Tanzania ni maskini?

Hana Majibu yule naniii ni ushabiki wa Chama tu unamsumbua na hasira ya kushindwa 2015.
 
Akichangia jioni hii amesema bajeti ya upinzani imejaa uongo na haina uhalisia.Hivyo amependekeza Chadema wakaombewe kwakuwa wana mapepo. Nisaidinieni wana JF nani wakuombewa kati ya Mwigulu au Chadema walioandaa bajeti mbadala?
 
Mwigulu na John Komba nadhani wamekosa adabu na heshima nimewasikia wanatia kichefuchefu.Yaani hata yule anayesoma bookkeeping ataona ni jinsi gani Msomi wetu Mwigulu Nchemba akarudi tena UDSM ana muaibisha Mwalimu wake.Yaani naona viti vingekuwa vinang'oka duh ingekuwa sinema ya aina yake.Wabunge wetu wawe wazalendo kutukanana kwenye nyumba hiyo takatifu inatia aibu sana.Wapingane kwa heshima siyo matusi,sasa nashangaa Lukuvi hakutoa mwongozo wabunge waccm walivyokuwa wanatukana kwa watanzania tuliokuwa tunaangalia imeonyesha picha kamili ya wazee na vijana wanaoshindwa kupokea upinzani.Real shame on them! :sad:
 
Mwigulu Nchemba ni mwehu na ukweli ni kwamba hana akili kabisa. Na huyu John Komba boyfriend wa LULU nae akili zake ni sawa na Mwigulu tu. Ukweli ni kuwa nchi yetu ipo kwenye hali tete, kuna haja ya kuombea na kuitakia mema kwa MUNGU. Kama tuna wabunge wanasahau wajibu wao na kuchangia matusi ni hatari sana. Alichosema Tundu Lissu ni ukweli wenyewe, kweli hii serikali inapaswa kuwa na aibu, kila mwaka kutuletea bajeti za kipuuzi na kishenzi kama hizi. Sasa Mwigulu na Komba ni sample ya wabunge wajinga na wasiojua kusoma majira na nyakati. Tanzania inakwenda kukombolewa muda si mrefu.

"TULIANZA NA MUNGU, TUNAENDELEA NA MUNGU, TUTAMALIZA NA MUNGU"
 
Nimefurahishwa na LISU, ile tactic ya Kisheria...Kaharibu Mood za watu wamepoteza muelekeo. Jiulize Nchemba na Komba wameongea nini?
 
Tundu lisu alivyosimama kuchangia hoja aliamua kuita serikali imerudia silly bajeti (tafsiri isiyo rasmi ni bajeti ya upuuzi)na aliamua kukiita chama ni silly,sasa Nchemba mwigulu naye akachangia kwa kusema kuwa kuna wanasheria wamesomea uchawi na waendesha madisco wameingia bungeni,kapteni komba(mwimbaji)yeye akasema kuna vichaa wamepotea njia badala ya kwenda milembe kwanza ndo waje bungeni wao wamekuja bungeni na kuomba wakapimwe kwanza akiri zao.
Hili ndo bunge lenye kurushiana maneno ya mipasho
 
Nafikiri hapa sasa tutaelewa nani mwenye MAPEPO na nani aende Mirembe.

Tundu Lissu kweli Mwana Sheria. Katekenya kidogo tu na kawaacha wanatoa mapovu. Hadi waje waambiwe ukweli na lengo la Tundu Lissu (kama wataambiwa) basi wengi watakuwa wameshajiachia UCHI.

hata jina geni ndg lete details na hata amina mwenyewe na ajitokeze. Pili sijawahi kulala stanley hata mara moja tangu ijengwe na tangu nizailiwe. Kwa ufupi najua nawakera sana cdm ila kwenye uzinzi sipo na hawatanipata angalia aibu hiyo tangu utoto wangu sijawahi kuwa na mpenzi anaitwa amina rashidi na sijawahi kulala hata ile ya pekee yangu stanley. Pili iramba nikiwa ziara nina utaratibu wa ajabu kidogo huwa nachukua double nalala na washikaji wanne kupiga story tena sijawahi kulala hayo mahotel ya ghali hapo singida ndg ulizia vizuri utanikuta mzinga sgd au mapokezi misigiri

Hapo jiulize Mke wake huwa yupo wapi.......Lohhh!!!!.

From: https://www.jamiiforums.com/chaguzi...pu-watawaliwa-na-matusi-badala-ya-sera-3.html
 
Nchemba kwa jumla kachemka..kuna haja gani ya kuita OC kwenye budget.. Tunataka detail in tuweze kufanya tracking. Sioni kama sensa ni kitu cha kuandikwa OC au katiba mpya tuseme ni OC..hivi vyote vinahitaji kunyambulishwa, tuache siasa jamani. Hata hivyo mbona waziri hakuvitaja ila wabunge wameanza kuhoji ndio tuanaanza kutafuta sababu.. Bado nina wasiwasi na hii OC ya Nchemba.

ndenga, hili ndilo tatizo na Mwigulu anafikiri yeye ndiye anayelewa uchumi peke yake. What is the point ya kuwa na budget na kuita watu wajadili kama mambo yenyewe ni OC? Kuna nini OC? Na inakuwaje budget kwa mfano ya wizara ya science na technology ipate only 17% ya hela ziliziinishwa na bunge? Silly budget!
 
Amedhalilisha Umma wa watanzania na adhabu yake haiko mbali. Mi nawashangaa sana wabunge jamii ya nchemba anaunga mkono hoja 100% Baada ya hapo anaanza kuilalamikia serikari eti jimboni kwake bajeti ile haikutenga fedha sa hapo ndo unaweza jua mwenda wazimu na msanii ni nani
 
acha wapashane ukweli magamba wamezidi kudanganya watu!! halafu sasa hv wabunge wa ccm wameanza kamchezo ka woga hv wanasema mm siungi mkono hoja hadi hapo nitakaopojibiwa! kwa nini tu usiseme huungi mkono basi kama itarekebishwa ubadili kauli! wapo wengine kama Mwigulu mchemba na Huyu mbunge anayetembea na mtoto wa dada yake john komba badala ya kutekeleza wajibu wao kuibana serikali wanaijibia serikali! sijui wanapalilia uwaziri au vipi??
 
Lissu nae katoa matusi na kaambiwa afute, katumia neno 'silly'
naona mipasho inatikisa bunge.

Nchemba anasema Mbowe alirudisha gari la zamani kachukua jipya na kali zaidi
Hii imekaaje? Ni ile V8 ya KUB?
 
Back
Top Bottom