Bungeni: Mwigulu Nchemba achafua hali ya hewa!

Kama kuna kazi anatakiwa kufanya mbunge wa Iramba Mwigulu Nchemba ni kuwasaidia nduguze wanakuja wilaya mbulu kwa wingi kuomba ajira ya kilimo.

Ni muda mrefu sasa wenyeramba wanateseka mno kutafuta maisha mazuri. Cha kushangaza ni mwakilishi wao kuwa mtetezi wa serikali. Ukitaka kujua umasikini maana yake nenda Iramba utajionea jinsi umaskini ulivyokithiri.

Wanaotoka Iramba wanajua hali hii.

Ni habari za uhakika. Kama kuna umasikini wa hali ya juu nchi hii uko wilaya ya Iramba.

wanyiramba inakuwaje wanachagua mtu mwenye akili za kimaskini hivyo??watashangaa
 
umesahau baa zote na madanguro mikoa ya kasakazini na kati huwakosi.Wanaongoza kuamzisha makazi sehemu na kuishi kwa ulevi na umalaya.Si haba kukuta wakilala chumba kimoja, bibi,mama, mjukuu na kila mtu akiwa na bwana ke.Hapo wakiwa juu ya ulabu wao al maarufu buzaa+dadii.
Mkuu mimi nimeoa huko mbona hizo tabia sijaziona? Hivi kuna kabila ambalo hakuna Malaya? Mimi ninafikiri tabia ya umalaya haiendani na kabila ni tabia mbaya za mtu mmoja mmoja ambazo zinaweza kudharirisha kabila lakini si kweli kuwa Wanyiramba ni malaya kupita makabila yote Tanzania
 
jamaa alivyokuwa akitafuta ubunge i thought ni mtu mwenye busara.hata alivyokuwa akituambia wapwa zake aah nikiwa mbunge nitakuwa mzalendo,msikivu etc.sasa anko naona anafiki kwa kutumia masaburi.mwigulu mbwembwe bungen tu huko kiomboi hana jipya.jamaa hana busara kabisa
 
wanyiramba inakuwaje wanachagua mtu mwenye akili za kimaskini hivyo??watashangaa

Wangejuaje kama sio kama sasa wanavyomsikia michango yake bungeni na anachowafanyia kwa sasa. Kufanya kosa sio kosa kosa ni kurudia kosa.
 
umesahau baa zote na madanguro mikoa ya kasakazini na kati huwakosi.Wanaongoza kuamzisha makazi sehemu na kuishi kwa ulevi na umalaya.Si haba kukuta wakilala chumba kimoja, bibi,mama, mjukuu na kila mtu akiwa na bwana ke.Hapo wakiwa juu ya ulabu wao al maarufu buzaa+dadii.

Nadhani kama kosa ni la Nchemba mngemuhukumu yeye sidhani hili kabila linastahili hizi shutuma.
 
Mkuu mimi nimeoa huko mbona hizo tabia sijaziona? Hivi kuna kabila ambalo hakuna Malaya? Mimi ninafikiri tabia ya umalaya haiendani na kabila ni tabia mbaya za mtu mmoja mmoja ambazo zinaweza kudharirisha kabila lakini si kweli kuwa Wanyiramba ni malaya kupita makabila yote Tanzania

Kwani unadhani utaweza kuona kama umekolea?Wewe umeshanasa.Inawezekana umeshamfumania mara kibao ila bado ila unajitahidi shindan nafsi yako.Na ni wazuri wakoleza wa kuja.huwezi aminika sana tena wewe inawezekana ni mme ***** tayari, kelel za bar na vijiweni hazimaanishi yanayaokukuta.

Labda nikurahisishie, kama unadhani si zaidi ya wengine basi tuambie .Je huo umalaya walionao haustahili tokomezwa?
 
Nadhani kama kosa ni la Nchemba mngemuhukumu yeye sidhani hili kabila linastahili hizi shutuma.
kuna direct correlation kati ya kiongozi na wapiga kura.Kama kura zilichangia ushind(km hawakuchakachua), yaani kuingia kwa Kikwete kunahusiana sana na udhaifu wa media zetu+wananchi(incl mimi na wewe)+CCM.

By the way thread inamtaka mwigulu kusaidia watu wake.Na hivyo matatizo yake kutajwa ni kuongeza maeneo yake kusaidia watu wake.So watu kukimbilia ktk ukabila ni kukosea.
 
Back
Top Bottom