Bungeni: Mwigulu full mipasho, Wassira na wengine waendeleza (Nov 16)

Mbunge wa Mchinga anasema CDM wanadai heshima kwa nguvu ati kua wana ushawishi mkubwa kwa waTz
 
nimebadilsha channel baada yakuona wabunge wa cccm na kafu wamegeuza bunge kama ukumbi wa taarabu,bora nisikilize music kwa sasa
hawana cha maana wanachozungumza zaid ya mipasho

kuwa sehemu ya kushuhudia MAGAMBA YANAVYOTEKETEA
 
eti watanzania tumetoa mawazo yetu na anayo mkononi na atawasilisha kwa wananchi, anawaponda jukwaa la siasa.
 
Vijisenti(Chenge) anasema: ni muswada muhim na kisheria.
Anasema unajenga miundombinu na anasema upotoshwaj unaoendelea unatakiwa kuwekwa sawa
 
wassira is a convicted criminal before the court of law. Alipatikana na hatia ya kutoa rushwa kwenye uchaguzi bunda (refer kesi ya warioba na wassira). Wassira lazima atetee katiba mbovu, kwani katiba nzuri asingeruhusiwa tena kugombea nafasi yoyote ya uongozi achilia mbali kuzawadia uwaziri.ndiyo maana anajaribu kupotosha bunge eti cdm waliahidi katiba ndani ya siku 100. Huu ni uongo wa mchana kweupe cdm waliahidi kuanzisha mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100. Kama makinda atacha huu ungo wa dhahiri uingie kwenye hansard za bunge, basi hili litakuwa bunge la banana republic
umenikumbusha matokeo ya mwaka jana alimhonga mgombea wa cdm akamwachia ulaji, hata dr. Slaa alivyoenda bunda kwenye mkutano wa hadhara baada ya uchaguzi watu wa bunda walimtaka ashuke jukwaani. Sasa sijui wasira anaweza kuongea nini wakati ameingia bungeni kwa kuhonga.
 
Eti Chenge nae anatoa mipasho aisee ghrrrrrrriiiiiiiiiii mzee wa vijisenti gamba nae anatuponda ghrrrrrrrriiiiiiii
 
Fisadi CHENGE ameanza kutema PUMBA zake.Up dates zitafuata.
 
Back
Top Bottom