Bungeni: Mjadala mkali waendelea!

Jamaa kashusha majina ya makampuni hewa ya ukaguaji wa magari na wamiliki wake ambao ni watanzania na wala si watu wa nje
Kataja mpaka kikao kilichokaa Kempisky hotel jamaa wanaojiita watoto wa mjini walivyoform kampuni na kujipa dili
 
uozo mkubwa tbs,ufisadi uliokithiri, makampuni hewa hayafanyi chochote zaidi ya kuparanga fedha za wananchi
 
Vicent Nyerere anamlipua Mbaya Naibu Waziri Nyalandu....kata makampuni feki yote na wamiliki wake!

Hii ni aibu kwa serikali na mawaziri wake.
 
hajajiuzulu waziri hata mmoja hadi sasa
sijui wanasubiri nini
 
Vicent Nyerere anamlipua Mbaya Naibu Waziri Nyalandu....kata makampuni feki yote na wamiliki wake!

Hii ni aibu kwa serikali na mawaziri wake.
inabidi sas bunge lifanye uamuzi mgumu
 
mkulo kashfa nzito,aongoza kwa kutafuna fedha za wananchi
 
Mkulo si mwaminifu, anaongoza kwa kuitafuna nchi hii

Source: Deo Filikunjombe
 
Back
Top Bottom