Bungeni:Mbona unawashwa washwa kaa chini

Inawezekana ameambiwa hivyo baada ya kujulikana kuwa ni mfuasi wa Obama na Comeroun.Yetu sisi masikio na macho tu!
 
Bunge la mipasho! wanatumia vibaya rasilimali za hapo, ni heri wangekuwa na kamjengo ka kubanana km kenya, nafikiri tukifanya cost benefit analysis ya gharama za jengo na kinachofanyika humo, bonge la hasara.
 
Kitaa mtu akikuambia ivyo maana yake una hamu ya kukanyagwa!
Haya sio maneno ya kutumika bungeni!
 
Ni mwendelezo wa zile kauli za kuudhi na ikiendelea hivi muda si mrefu watatandikana humo mjengoni.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom