Zinedine
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 1,187
- 694
Maswali kwa waziri mkuu ni usanii mtupu. Mfano W/Mkuu anaulizwa kuhusu mawaziri kuishi hotelini, naye anamuuliza mbunge ni mawaziri gani, anapoambiwa ni nahodha, anajibu sawa nimesikia. Hapa tulitegemea W/Mkuu alijue hili kama kweli serikali yake ina nia ya kupunguza gharama, maana hili la nahodha limeandikwa hata na vyombo vya habari.
Pia, spika amepotezea(kwa kisingizio cha kesi zipo mahakamani) maswali kuhusu mauaji yanayofanywa na polisi-maana si Nyamongo au Tarime peke yake, mauaji yamefanyika sehemu nyingi tu kama Mbarali ambako kesi haipo mahakamani. Spika amekosa umakini ktk hili
Umeonaeee! Hawa jamaa ni kuwawekea sumu wafe tu, maana kwa kura hatuwawezi, ni wezi; kwa vittta ndo murrrah, watapita tu; kwa usanii ndo usiseme-watatunanii tu-so conclusionyao ni sumu ya paka tu hawa!