Bungeni Live: Waziri Mkuu ajibu maswali ya papo kwa papo!

Bunge linaendesha kipindi cha maswali kwa waziri mkuu,ubabe wa spika dhidi ya wabunge wa upinzani umeendelea ni kama vile CCM wamejipanga rasmi kuzuia hoja muhimu za upinzani.
*wakati huo huo TBC nayo kwa maksudi inaonyesha kipindi cha Russia badala ya bunge live ili wananchi waone waziri mkuu akijibu mambo muhimu
*SITTA anamuumbua mbunge mwenye boti aeleze ukweli nae anakiri.(personal interest)
*JE TUTAFIKA??


Mkuu, hebu tuhabarishe kinachoendelea maana TV ya Taifa ndio hivyo tena, imechakachuliwa leo hakuna Live.
 
Njia moja ikifungwa nyingi ziko wazi zikifunguka. Wakiziba bungeni, siasa kama kawa zinarudi mtaani. Wala haina shida hiyo..........
 
mbunge gani kaumliwa na SITA?Pls mnijuze maana niko mbali na tv na aradio ya mkulima TBC hawarushi leo!
 
Pasco, thanks for always keeping us posted kwenye masuala ya Bunge... kwakuwa wengi tuko makazini (au nje ya nchi), na kuweza access bunge ni ngumu... tunaomba kama utakubali, uwe unatupa dondoo za yanayojiri

Nafahamu kwamba unaweza na nita-appreciate sana msaada huu kwa faida ya wanaoipenda Tanzania including mimi na wewe
:help:
MTM, thanks kwa appreciation, I'll do the best I can!.
 
kaka kumbe na wewe umeona imeniuma saaana tena sana wabunge wa upinzani wananyimwa haki zao halafu mibunge dhaifu ya ccm inamshangikia spika. kwa kweli nimepandwa na hasira ya ajabu na kusababisha kuwaza vitu vya ajabu ajabu kama assasination. nna hasira bd ngoja temper i cool ntarudi tena

Sasa na nyie mnatofautiana vipi na TBC kama mnalalamika tu badala ya kutuambia kimetokea nini!!!
 
Mwaka jana tbc walipata 4bn kwa miradi ya maendeleo achilia mbali ruzuku ya matumizi ya kaiwaida( utawala)
 
bunge linaendesha kipindi cha maswali kwa waziri mkuu,ubabe wa spika dhidi ya wabunge wa upinzani umeendelea ni kama vile ccm wamejipanga rasmi kuzuia hoja muhimu za upinzani.
*wakati huo huo tbc nayo kwa maksudi inaonyesha kipindi cha russia badala ya bunge live ili wananchi waone waziri mkuu akijibu mambo muhimu
*sitta anamuumbua mbunge mwenye boti aeleze ukweli nae anakiri.(personal interest)
*je tutafika??

mh zitto alibaki tu anatikisa kichwa!
 
Msishangae Spika Makinda kuwa mbogo; yeye ana hasira za watu waliomweka madarakani kukosa fursa ndani ya CCM. Yupo katika maumivu ya msiba wa EL, AC na RA ambao wamemfikisha hapo alipo
 
hivi jamani tunawezaje kujua kwamba tbc wanatengewa bajeti kiasi gani kwa mwaka na wanatumiaje. Itatuwezesha kujenga hoja kwamba wasitengewe kutumia pesa zetu, watafute zao kutokana na matangazo kisha wawe na uhuru wa kutunyima habari muhimu kama wanavyofanya

this is not only too much but very stupid. Nanni anawaambia kwamba priority ya wananchi ni vipindi vilivyorekodiwa vya kilimo kwanza na siyo mijadala ya bunge?

nakumbuka tangu mwaka juzi waliambia waanze kujitegemea, juzi juzi kwenye maadhimisho yao (tbc) wakawa wanaonesha mambo niliyoyaona ya ajabu kweli, lakini ilikua ajabu na kweli! Walikuwa wakionesha jinsi ugumu wakazi ulivyo, namna wanavyohangaika umeme ukikatika, eti wakaonesha wanasoma taarifa za habari kwa simu za kitochi, studio joto wanafungua madirisha na kujipepea na magazeti, yaani sikuelewa, hopeless kabisa! Eti ni televisheni ya taifa, aisee!
 
SASA KAMA WAZIRI MKUU NDI HUYU ANAPAPASA MIKONO YA MABINTI OVYO BUNGE LITAKUWAJE??

IMG_6368.JPG
 
huyu Mama hajui hatma yake, nashangaa kwanini Mwenyekiti wa Chama tawala hachukui jukumu lakuitisha kikao cha chama ili wabadilishe spika bungeni. Anadhalilisha chama chake! CCM hawajui haya mambo yanarekodiwa na baadae yatatumika kuwasambaratisha! ni bora wakubali BUNGE LETU TUKUFU LIENDESHWE KI DEMOKRASIA SIO KIDIKTETA!
 
Ndio maana naunga mkono hoja ya chadema kuanzisha kituo ca tv. Tuachane na hao wachakachuaji
 
Serikali ya JK inaogopa watu wasipate habari kwani wanaweza kumwondoa kabla ya 2015, ila zikitokea tafrija za CCM wao ni wa kwanza kabisa kupeleka mikamera yao.

Umenena Mkuu. Tawala zote za Kidhalimu zilizoanguka zilianza kubana mawasiliano kwa Wananchi wao. Lakini haikusaidia...

 
Bunge linaendesha kipindi cha maswali kwa waziri mkuu,ubabe wa spika dhidi ya wabunge wa upinzani umeendelea ni kama vile CCM wamejipanga rasmi kuzuia hoja muhimu za upinzani.
*wakati huo huo TBC nayo kwa maksudi inaonyesha kipindi cha Russia badala ya bunge live ili wananchi waone waziri mkuu akijibu mambo muhimu
*SITTA anamuumbua mbunge mwenye boti aeleze ukweli nae anakiri.(personal interest)
*JE TUTAFIKA??


USIOGOPE
Binafsi i'm happy with Makinda na wabunge wa ccm, unajua kwanini.. kwasababu wananchi hapa ndio watapata nafasi ya kuendelea kujifunza kuwa na hiki chama au la, kwa kawaida udhaifu wa mwenzako ni nafasi yako kujiimarisha ila sasa niwaombe wana mageuzi wote watumie nafasi hii kuwaonyesha wananchi jinsi ccm na serikali yake walivyo wajinga na kwanini wasipishe upinzani ukatawala nchi yetu.

Huwa sifurahii hawa jamaa wakijirekebisha kwa lengo la kuzima upinzani na si kuwakomboa wa-Tanzania - ujinga wa bunge la ccm unaonekana kwa wananchi na ujinga huo utawagharimu 2015
 
Back
Top Bottom