Bungeni Live: Juni 3, 2012 [Morning Session]

eti cuf kinaongozwa na wasomi chama kingine cha upinzani kinaongozwa na disco joka

Huyu jamaa huyu? hili Bunge naona kama limekuwa hovyo kabisa

halafu Mkti eti anaona ni nidhamu wakati jamaa alitaka kumake headlines tu..
 
Umefika wakati sasa viongozi wa vikao vya bunge wavae majoho yenye bendera ya chama chao badala ya kuendelea kutumia rangi za bendera ya taifa kinyume na makusudi halisi ya bendera ya taifa.
 
Kwa mwendo wa bunge hili,Chadema warudi mitaani kushtaki kwa wananchi.wanadhalilishwa sana.
 
CUF imenasa kisawasawa kwa mtego iliyotegewa kuwa ni CCM B, Pongezi inabidi zitolewe kwa NCCR Mageuzi inayokwepa mtego huo kwa kushirikiana na CHADEMA. Nasema hivi kauli za viongozi Wabunge wa CUF wanaponda sana CHADEMA kuliko hata CCM hivyo kuonekanakuwa ni kweli CUF NI CCM B, Mbunge wa Chakechake CUFleo baada ya kuchangia ameanza kuuponda uongozi wa CHADEMA.hapa hakijengi Chama chake bali anatimiza kuwa kweli CUF ni CCM B kwa kauli zake.
 
Huyu jamaa huyu? hili Bunge naona kama limekuwa hovyo kabisa halafu Mkti eti anaona ni nidhamu wakati jamaa alitaka kumake headlines tu..
pu.mba.vu kabisa huyu amedanganya eti mgomo wa madaktari umeisha.
 
Mh.Mkasomali na Myika wameomba mwongozokuhusu sakata la madaktari, kwamba imefika wakati sasa liruhusiwe kujadiliwabungeni kwani serikali mado inafanya maamuzi kibabe wakati swala lipo mahakamanina Madaktari wanaendelea kigoma huku wananchi wakizidi kuathirika.

PiaMh.Mnyika amelalamila kuwa jana Mwenyekiti aliwatolea kauli mbaya kwa Mbunge Mkasomali na yeye yaliyokiukaa kukiuka kanuni mbalimbali kwa kuwaambia kauli zamatusi, maudhi na kashifa kufuatia kumwambia Mkasomali kwamba aache kimbelembele,anadandia hoja na anajitafutia umaarufu. Na kwa mnyika kuwa ameshindwa kujibu taarifa (kufatia hoja za Mwigulu ambazo sikubahatika kuzisikia) ambapo hajapewanafasi ya kujibu na kuwa eti Mnyika nawashwa (kauli amabyo aliitafasiri kama nitusi). Majibu ya Mwenyekiti: Kuhusu sakata la madaktari hakutolea jibu lolote,bali Mwenyekitu amemgeuzia kibao Mkasomali na kusema yeye ndiye alivunja kanuni kwanza (hakutaja zipi), ila kuhusu Mnyika amesema atalijibu baadaye ama siku atakayoona inafaa.

Kama na muhilili huu utabaki kimya kwenye huu mgogoro wa madaktari na serikali, basi itabidi wananchi tutumie nguvu ya UMMA.


Wanasubiri wakae kikao cha dharula waweke msimamo wa chama ndio watazungumza vitu ambavyo wamelishwa kama chama, nimependa hii "Wisdom is not a product of schooling, but of the lifelong attempt to acquire it"nadhani ina apply hapa Lyimo ?
 
Last edited by a moderator:
Kampongeza pia Mh Raisi Jakaya Kikwete kwa kumaliza mgogoro wa madaktari na kuongeza kuwa pamoja na juhudi hizo Chadema ndio walioandaa mgomo huo kwa sababu bado wanang'ang'ania swala la Madaktari lijadiliwe bungeni yeye haoni sababu kwa sababu madaktari wametii amri ya raisi
 
Naona sasa tunaanza kuiga mabunge ya wale wanao zipiga bungeni.

Maana ile mipasho. lol
 
kuna mwingine kaongea weee eti mwisho kamaliza kwa kusema ANAUNGA MKONO HOJA YA BAJETI YA MJOMBA AKE ASIJE AKAMWELEWA VIBAYA,
 
Nimemckia uyo mbunge wa CUF, kweli jamii yeyote isiyotambua umuhimu wa siasa ktk maisha yao ya kila siku utawaliwa na wajinga; kwa mfano uyo mbunge wa CUF wananchi wamemchagua kama mwakilishi wao. Lol
 
Achana na akina Mabumba na wenzake toka nchi jirani wanaonyesha mshikamano na mwenzao anayeongoza wizara yetu ya Afya! Pili watu wenyewe hakuna hata amechaguliwa zaidi ya wapigakura elfu 3. Ni wanyonyaji wa kodi za Watanganyika.
eti cuf kinaongozwa na wasomi chama kingine cha upinzani kinaongozwa na disco joka
 
CUF ni CCM B ....hakuna chama hapo ni mazingaombwe tupu....afadhalikuongozwa na disco joker kuliko kuongozwa na mgonjwa halafu dhaifu mwanzo kati mwisho
 
Umaarufu ukiporomoka kutokana na upuuzi wako utatamani kuurudisha hata ikibidi kumtoa kafara mama yako. hiki ndicho CUF inakifanya they are already DEAD!!!!
 
Back
Top Bottom