Bungeni Live: Juni 3, 2012 [Morning Session]

Wewe haitwi tena Mh. Mnyika kuanzia jana hansad za bunge zimemuandika Mh. Washwa washwa, kwa hiyo kitu kinacho washa dawa yake ni kukunwa tu, ila ni kweli Mh. Washwa washwa anatafuta umaarufu sio siri

Umaarufu upi wakati hadi wewe unamfahamu Mnyika ni maarufu hata kabla hajawa mbunge! Kuwa ccm siyo ticket ya kutokufikiri sawasawa, mnajidhalilisha! Mtu anaongea mambo ya msingi wewe unasema anajitafutia umaafu, kwa nani sasa! Hii dhambi mnayoitenda CCM itawatafuna hadi kifo chenu!
 
Wewe haitwi tena Mh. Mnyika kuanzia jana hansad za bunge zimemuandika Mh. Washwa washwa, kwa hiyo kitu kinacho washa dawa yake ni kukunwa tu, ila ni kweli Mh. Washwa washwa anatafuta umaarufu sio siri
Nadhani wewe ndo wa kukunwa maana hujui mpaka leo kuwa Mh Mnyika ni maarufu zaidi ya mkweo,hizi kauli za watu kutafuta umaarufu zinatolewa na watu waliokufa akili tu.na mara nyingi viongozi wa bunge wanatoa kauli za kutafuta umaarufu pale wanapoona wanazidiwa na hoja NZITO zinazotolewa na vijana makini kama Mnyika.
 
Mbunge wa Kisesa CCM anawashangaa takukuru na Pcb walio iba fedha BOT wanawajua mbona wako kimya?

Anadai hakuna Akounti inayofunguliwa nje ya nchi bila kujulikana na BOT
Hao PCCB hawaruhusiwi kufungua shitaka/kesi Mahakamani bila "ruhusa" ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP). Usifikiri hata siku moja kuwa hao PCCB wako huru kama tunavyodanganywa na wanasiasa wetu. Tz tuna tatizo kubwa la mifumo yote.
 
Wewe haitwi tena Mh. Mnyika kuanzia jana hansad za bunge zimemuandika Mh. Washwa washwa, kwa hiyo kitu kinacho washa dawa yake ni kukunwa tu, ila ni kweli Mh. Washwa washwa anatafuta umaarufu sio siri

ww kama huna utitiri kwenye kichwa chako ,una viroboto...Kwa akili yako ya kimagamba upumbavu wa jana bungeni ndo unaushabikia ..badilika usiwe kama mende ukugeuka basi ndo mwisho wako wa kuishi.....come up ..
 
Mchemvu Mwenyekiti amekiri kuchemka na amemuomba msamaha Mnyika!Shame on u.
 
  1. Hii inchi inaongozwa na watu incompetent;
  2. Rais Incometent
  3. Waziri mkuu incompetent
  4. Speaker icompetent.
  5. Wenyeviti wa vikao vya bunge incomepetent
  6. Wabunge wa ccm incompetent.
 
Wanabodi!
Katika kikao cha leo cha Bunge linaongozwa kwa taarifa kila akiongea au kuchangia hoja kinachofuata ni taarifa je hizi taarifa zina jenga au tija kwa umma?
 
Wewe haitwi tena Mh. Mnyika kuanzia jana hansad za bunge zimemuandika Mh. Washwa washwa, kwa hiyo kitu kinacho washa dawa yake ni kukunwa tu, ila ni kweli Mh. Washwa washwa anatafuta umaarufu sio siri

siyo kosa lako ni kosa la chama unacho kitetea!

Kama wana ccm wenzie waliona hiyo ni kauli ya kitoto wewe unaishadadi kama under 18.

Sasa wewe, mwigulu, lusinde mtakuwa mama mmoja baba mmoja!

I think we should put you under intensive care other wise you will run mad
 
Back
Top Bottom