Bungeni Live, June 21: Maswali kwa Waziri Mkuu

Ile chenji ya Rada ndo ingelipa deni la walimu na si kutudanganya wamepeleka kununulia pembejeo ambazo hazionekani huko vijijini; swala la madaktari haliwezi kutibiwa kwa kwenda mahakamani, yaani kwa wenye akili tushajua mahakama itatoa uamuzi gani. Kamati ya bunge ya afya ilishauri swala hili latatuliwe but serikali inatumia ubabe kitu ambacho kitaigarimu. Wakisema cdm wanawazomea nakusema ni siasa;

1.Hao wataalamu wanaocomment ubovu wa bajeti hii nao ni siasa?

2. Hivi kupigania fedha za maendeleo ziongezwe hiyo nayo ni siasa? sasa tuone nini kitatokea.

Nasema kauli ya NCHEMBA kama haitafutwa na kuomba radhi aliowatuhumu itawatokea puani! Huwezi kukata tawi la mti ulilolikalia then utegemee utapona!
 
Playing Stream is unreliable

Huu mtandao unakera bana! eti stream is unreliable what the fu.k?
 
Waziri mkuu Mh. Pinda leo bungeni wakati akijibu swali la Mh. Nasari amesema haina haja kwa vijana kusema kwa kutumia nguvu mpaka kutikisika. Amesema kuongea hivyo si muhimu bali ni kujikita kwenye hoja. Kwamba kuongea mpaka povu linamtoka mtu hayo si mambo katika nchi yetu. Wadau mnasemaje?

Kanikumbusha ile hoja ya mama Anna Abdalah kuwa kila mtu anapinga ufisadi, sema wengine hawapendi kuongea kwa kupayuka kama akina Kilango. Ilijibiwa vizuri sana kwa swali na Lula Mwananzela kuwa "Hivi watu wakivamiwa na mwizi, wako wawili, mmoja akawa anamnong'oneza mwizi ...'we mwizi, we mwizi acha kuiba'..., Na mwingine akawa anapiga mayowe na makelele, na filimbi, ...mwiziiiiiiii, mwiziiiiiiiiiiii'.......... Kati ya hawa watu wawili, nani mwenye nia hasa ya kupambana na mwizi?
 
Katika Maswali ya Papo kwa papo kwa Waziri Mkuu Dogo janja amemuuliza Pinda kuwa katika Mazishi ya Mhe.Summari Pinda kama mwakilishi wa serikali alitoa ahadi kwa wananchi wa arumeru mashariki kuwa serikali watatekeleza ahadi zote ambazo waliahidi.Sasa kwavile Jimbo limeshapata Mbunge Je Serikali Iko tayari kutekeleza ahadi zote walizoahidi au ilikuwa ahadi za kisiasa?Jibu toka kwa Pinda Serikali watatekeleza ahadi ambazo zipo kwenye ilani ya CCM.

Wanabodi hili limekaaje?

Kwa jibu hili inadhiirisha kuwa Mh. Pinda ni Waziri Mkuu wa CCM. Kwani majimbo yanayoongozwa na Wapinzani serikali haiwezi kuyasimamia. Je Majimbo yanayoongozwa na wapinzani yanapaswa kusimamiwa na chama cha upinzani ambacho hakina serikali? Je kodi ya hawa wananchi inaenda wapi? Je mfumo wetu wa vyama vingi ni sahihi? Maswali kama haya na mengine mengi, yanapaswa kuainishwa vizuri katika KATIBA yetu mpya ili kuondoa utata kama huu.
 
Kanikumbusha ile hoja ya mama Anna Abdalah kuwa kila mtu anapinga ufisadi, sema wengine hawapendi kuongea kwa kupayuka kama akina Kilango. Ilijibiwa vizuri sana kwa swali na Lula Mwananzela kuwa "Hivi watu wakivamiwa na mwizi, wako wawili, mmoja akawa anamnong'oneza mwizi ...'we mwizi, we mwizi acha kuiba'..., Na mwingine akawa anapiga mayowe na makelele, na filimbi, ...mwiziiiiiiii, mwiziiiiiiiiiiii'.......... Kati ya hawa watu wawili, nani mwenye nia hasa ya kupambana na mwizi?

Hapo ktk red nimecheka sana.
 
ha ha ha ha mha mhamhaaaaaaaa
 
Kwa majibu ya Waziri Mkuu kuhusu suala la madakatari, sasa nimeamini kuwa serikali yetu tukufu imeruhusu ujinga kutawala akili!!!!
 
Kanikumbusha ile hoja ya mama Anna Abdalah kuwa kila mtu anapinga ufisadi, sema wengine hawapendi kuongea kwa kupayuka kama akina Kilango. Ilijibiwa vizuri sana kwa swali na Lula Mwananzela kuwa "Hivi watu wakivamiwa na mwizi, wako wawili, mmoja akawa anamnong'oneza mwizi ...'we mwizi, we mwizi acha kuiba'..., Na mwingine akawa anapiga mayowe na makelele, na filimbi, ...mwiziiiiiiii, mwiziiiiiiiiiiii'.......... Kati ya hawa watu wawili, nani mwenye nia hasa ya kupambana na mwizi?
Wakati mwingine JF inarefusha maisha ya watu.
Yaani nimcheka hadi meno yako hoi.

Hivi kwa majibu haya Mkuu Anna Abdalah hakuomba mwongozo kweli!.
 
mi nadhani hilo ndo wanalokosea waccm. wanapaswa kutekeleza ilani yao nchi nzima kwakuwa wao ndo serikali. hayo ndo magepu yanawafanya wanchi wawaone kuwa wameishiwa. cha msingi nikutekeleza yale walioahidi kwa wananchi mana wote tunatoa kodi tena kubwa.
 
Pinda anasema wanaenda mahakamani

Kwenda mahakamani ni kwamba serikali haina jibu la ahadi iliyoitoa kwa madaktari ktk kumaliza ule mgomo wa awali. Hivyo wakigoma serikali itaenda mahakamani, serikali itailazimisha mahakama isikilize kesi kwa haraka ikiwezekana siku hiyo hiyo moja na hata hukumu itatolewa usiku wa manane. Hii ikwani si ilishatokea?

Baada ya hapo JK ataita wazee wa Dar kuwashitaki madaktari kqwamba hawana uzaelendo n.k. Kikubwa cha kujiuliza ni nani safari hii atakuwa mwenyekiti wa wazee hao baada ya yule mwizi Idi simba kufikishwa mahakamani?

Atatafutwa jizi jingine, labda mara hii atakuwa salum Londa maana majizi ktk nyinyiemu wako wengi sana, si kazi kubwa kumpatra mwingine aliyebobea ktk hiyo tasnia.

CCM - why dont you just melt away?
 
Kumbe leo ni Alhamisi eeeh, ngoja niwahi nikaangalie komedi nyingine, hii ya asubuhi asubuhi inaboa bhana kha!!!!
 
wananchi wenzangu mwaka 2015 hakikisha mafiga matatu RAIS Mbunge Diwani ni upinzani la sivyo ni kelele tu
 
Back
Top Bottom