Bungeni Live, June 21: Maswali kwa Waziri Mkuu

Mbowe amemuuliza suala la mgomo wa madaktari na waalimu unaweweza kuanza wakati wowote anataka kujua jinsi serikali ilivyojipanga kukabiliana na hali hiyo.
 
waziri mkuu baada ya kuulizwa kuhusu mgomo wa madaktari majibu yake si yakuridhisha kwa upande wangu.
kwa hatua ya kwenda mahakama ya kazi je madaktari wakianza mgomo watasubiri hadi kesi iishe au itakuwaje?
 
pm anaelezea vizuri sana kuhusu migomo ya walim na madaktari ambalo ameulizwa na mbowe
 
Adai wakigoma hawana dhamira ya kweli ya kuwatumikia watanzania

Haya sio majibu, walipofuta misingi ya ujamaa na kujigemea walifuta rasmi kazi za kujitolea vile vile, hivyo ni lazima wafikie maridhiano na makundi haya.
 
Katika Maswali ya Papo kwa papo kwa Waziri Mkuu Dogo janja amemuuliza Pinda kuwa katika Mazishi ya Mhe.Summari Pinda kama mwakilishi wa serikali alitoa ahadi kwa wananchi wa arumeru mashariki kuwa serikali watatekeleza ahadi zote ambazo waliahidi.Sasa kwavile Jimbo limeshapata Mbunge Je Serikali Iko tayari kutekeleza ahadi zote walizoahidi au ilikuwa ahadi za kisiasa?Jibu toka kwa Pinda Serikali watatekeleza ahadi ambazo zipo kwenye ilani ya CCM.

Wanabodi hili limekaaje?
 
Mizengwe Pinda
 
Nilifikiri ameulizia ahadi za ccm.. kama ni za serikali na pinda aliahidi kama kiongozi wa serikali ni sawa..vitu kama barabara, huduma za maji safi na umeme ni majukumu ya serikali kupitia kodi zinazolipwa na wananchi wakiwemo wa arumeru.. so ni sawa na swali lipo mor tecnicol..
 
Katika Maswali ya Papo kwa papo kwa Waziri Mkuu Dogo janja amemuuliza Pinda kuwa katika Mazishi ya Mhe.Summari Pinda kama mwakilishi wa serikali alitoa ahadi kwa wananchi wa arumeru mashariki kuwa serikali watatekeleza ahadi zote ambazo waliahidi.Sasa kwavile Jimbo limeshapata Mbunge Je Serikali Iko tayari kutekeleza ahadi zote walizoahidi au ilikuwa ahadi za kisiasa?Jibu toka kwa Pinda Serikali watatekeleza ahadi ambazo zipo kwenye ilani ya CCM.

Wanabodi hili limekaaje?

Kwa kuangalia jibu, Pinda kajibu sawa, kikubwa hapa ni je kweli watatekeleza?? Manake for sure hawawezi kutekeleza ahadi zilizo kwenye ilani ya CHADEMA.
 
Hongera Zambi. Na sheria hiyo ikipitiwa iguse hata zao la Kakao kule Kyela. uuzaaji wa kakao mbichi kwanza umeshusha ubora wa kakao inayotoka Kyela na kibaya zaidi kumezuka wizi wa kakao zikiwa mitini usiku na kuhatarisha usalama wa wakulima.
 
Waziri mkuu Mh. Pinda leo bungeni wakati akijibu swali la Mh. Nasari amesema haina haja kwa vijana kusema kwa kutumia nguvu mpaka kutikisika. Amesema kuongea hivyo si muhimu bali ni kujikita kwenye hoja. Kwamba kuongea mpaka povu linamtoka mtu hayo si mambo katika nchi yetu. Wadau mnasemaje?
 
Acha umbea kijana
hadi huku mnaweka chumvi
Huna cha kupost, comment post za wenzako kweli hili nalo neno kweli...
 
Back
Top Bottom