Bungeni Live: Julai 2, 2012

Katika Hotuba yake ya Mwisho wa Mwezi jana July 01, Mh. Rais alidokeza kuhusu mabadiliko ya Mshahara kwa wafanyakazi wa Serekali, Sikiliza ili kufahamu wakati wa usomaji wa Bajeti ya Manajementi ya Utumishi wa Umma ni kwa kiasi gani mshahara huo utakuwa umeongezwa na kama utaweza kusaidia kupunguza makali ya Maisha.

Ili kusikiliza bonyeza hapa:
http://tunein.com/tuner/?StationId=158711&

Redio ikifunguka usiache ku
LIKE na kutuma maoni yako kwa info@arushamambo.com

Source: Star TV
 
Amjambo wana JF, naona leo WABUNGE watakua na hekima kujadili hiyo swala la Madaktari kwa makini sana na huyo SPIKA pia atakuana busara na simama kikamilifu kama Speaka na kutumia akili ya busara. Issue ya madaktari ni swala nyeti na vitisho au maneno ya karaha will never reach anywhere.

Mimi nasema wale wavyo sema eti wafukuzwe awana AKILI kabisa kwa sababu hasara ni sisi WATANZANIA wanyonge pamoja ule anavyosema eti wafukuzwe. Hawa madaktari wanadai vifaa vya utendaji. It makes no sense if you go for treatment and the necessities to provide services are not available unafanya nini kazini.

You do not need education to read along the lines most often people who talk nonesenses are people who have no education or fluck around to get certificates. We need intelligencies to deal with doctors because our lives are in their hands. Wabunge wana pesa na wanaweza kutibiwa popote pale. Wewe masikini unasema hivyo --- una akili kweli ? Hali ni tete na wananchi wanachukia kwa maneno machafu ya kutisha.

DOLA AU WANANCHI KIKWETE NA PINDA mpime hali mnavyo leta Tanzania. Mungu atawaadhibu sana kwa maneno na matendo yenu.
 
Back
Top Bottom