Bungeni Live: Hitimisho la Bajeti jioni ya 22/06/2012

wabunge wote leo nimewadharau sana kutajana majina tu mnashangilia na kugonga meza ilihali sisi wasikilizaji tunahasira kali naanza kuamini ile kauli ya kijana anaenza kubalehe kuwa wabunge wote ni wazembe kipi hasa kinawafurahisha

taratibu utaelewa...
 
Dr. Mgimwa anahitimisha Bajeti yake kwa kutumia takriban dakika 30 kutaja majina ya wabunge waliochangia hoja. Hivi kuna umuhimu gani kupoteza muda wote huo kutaja majina hayo?
Au ndo mambo ya kuwafagilia wabunge ktk majimbo yao? Nadhani uchapa kazi wake jimboni ndo silaha pekee ya kujifagilia.
 
Kinacho ingia kwenye taka ni taka. Msomi anatumia delaying technique kwa kutaja majina badala ya kujibu hoja zenye madukuduku kwa watanzania.
 
We inaonesha wachaga wanakutisha sana

wachaga ni wafanyabiashara nilikuwa nawastua wafatilie hitimisho la bajeti ili wajue watalipa na kukwepa kodi kiasi gani na lini wanatakiwa kuanza kupandisha bei ya konyagi,bia na sigara
 
Huyu naibu waziri anahubiri uwongo ule ule. Anasema kuwa mfumo wa PAYE unaotumika Tanzania ni wa kimataifa. Hili sio sahihi. Mfano, serikali inasema mtu anayepata 170,000 au pungufu yake kwa mwezi hatozwi kodi. Lakini kama anapata 180,000 atalipa kodi. Kimataifa mtu kitakachotozwa kodi ni 10,000 yaani 180,000-170,000 = 10,000 na sio 180,000.
Upinzania wako sahihi kwa sababu wamependekeza kodi kwa hiyo kiasi kilichozidi 170,000. Sasa huyu mwanamama anajaribu kuegemea mambo asiyoelewa!
Hata kwa Tanzania ndivyo ilivyo, mfano mtu anepokea TZS 180,000/= atakatwa kodi ya TZS (180,000-170,000)*14%.
 
Deni la Taifa limetumika katika miradi mbalimbali mfano ametaja miradi ya Barabara ya Dar Somanga, MNH, Muhas, MMEM, MMES, hii ni miradi ilianzishwa na mkapa na kipindi chake ilikuwa inakwenda vizuri sana lakini mpaka sasa miradi mingine haijaisha na inaendelea kupangiwa hela huu si wizi huu. Wanasiasa wameiba hela za MMES , na matokeo yake secondary za kata zimekuja hazina ubora, MNH imechakaa huku ukarabati haujaisha,
 
kwa majibu haya ya hoja ccm itaendelea kubaki madarakani daima mnaohama hameni tu but mtakuja kujuta ccm ni zaid ya mkakati
 
Back
Top Bottom