Bungeni leo: Martha Mlata; Kanumba alitakiwa awe na Bodigadi na hakustaili kuishi Sinza

Haya ndiyo madhara ya kutamka neno ambalo,
haujafikiria madhara yake baada ya hilo neno kutoka,
....pole sana mh mlata, ila nahisi kupitia maneno yako hayo,
umejifunza kitu....
 
angetueleza uswahilini anapaswa aishi nani??? na ni vigezo vipi vinatumika kupaita mahala uswahilini??? Je yeye yupo bungeni kutetea wananchi au kuanza categorization za uswahilini na anapopajua yeye. Hapa ndio anatuonesha jinsi wanavyotujengea matabaka. sijui nani kapeleka hii kitu bungeni
 
mambo mengine bwana kuwa uyaone sasa alitaka serikali ndo wamuwekee hao walinzi au? umaarufu wa bila pesa ndo huo mwisho wa cku wanaaibika. kama mbunge haoni matatizo yoyote katka jimb lake y haongee ujinga?
 
pengine angewekewa bodigadi ingeisaidia jamii kujua sk amebaka watoto wangapi tokea alipoanza kuwa na vijisenti. Pamoja na hayo ni mbunge chama gani huyo, naomba cv yake
 
Si mbunge wa viti maalum CCM, kifo cha SK kimetokea akiwa chumbani kwake na "mpenzi" wake akitaka kumbaka, sasa huyo mlinzi hata angekuwa nae angezuia vipi? hii ndio hatari ya kuwa na wabunge wasio na hoja! hii mambo ya viti maalum siipendi kweli yaani aaaaa!
 
Si mbunge wa viti maalum CCM, kifo cha SK kimetokea akiwa chumbani kwake na "mpenzi" wake akitaka kumbaka, sasa huyo mlinzi hata angekuwa nae angezuia vipi? hii ndio hatari ya kuwa na wabunge wasio na hoja! hii mambo ya viti maalum siipendi kweli yaani aaaaa!

wanasema viti maalum hupatikana kwa rushwa ambayo iko aina nyingi ikiwemo ya ngono!
 
Huyu mama hovyo kabisa..anaonekana hajui sheria za nchi wala za dini!Kwa taarifa yake 'nchi' zenye haki na utawala wa kwel wa sheria....Kanumba alkua mbakaj!
 
Huwa napata wasiwasi na uwezo wa kufikiria wa baadhi ya wabunge wetu.
 
Yaani kabsaaaaa!, akasimama na kutoa hoja...mbunge huyo...we really have a very long way to go!,
 
It is true,ila dhuruma ya kazi za wasanii ndio inapelekea haya.Hivi ingekuwa USA mzee Majuto angekuwa hivi alivyo?Je Mzee Kipara akustaili kufia Aghakani?Moshi William Kufia Amana? Kwa kazi wazifanyazo wanastaili ujira wa maana.Mwesimiwa ajakosea
 
Back
Top Bottom