Bungeni leo: Martha Mlata; Kanumba alitakiwa awe na Bodigadi na hakustaili kuishi Sinza

Mbunge huyu alipokuwa anachangia hoja kuhusiana na sheria juu ya haki za wasanii na kazi zao. Alsema maeneo aliyokuwa anaish marehemu kanumba ni uswahilin hatari kwa Jk pamoja na Pm na wengneo.

Aidha aliongeza kuwa msanii huyo alpaswa kua na bodgad wa kumlnda.

Bunge linakosa heshima kwa huhifadhi viazi kama hivyo, anasema hivyo kwa vile mazishi ya kanumba yalikuwa makubwa au ameitambua hali hatarishi kwa wasanii tangu zamani, na je wasanii wapewe body guard na nani, hiyo ni personal issue, kila mtu hufanya kwa mahitaji yake mwenyewe
 
Huyu mama ni mzigo usiobebeka kwa wa CCM waangalie namna ya kumpa ushauri huyu mama
 
Sishangai.

Kuna mbunge wetu mmoja wa mji kasoro bahari 2005-2010 mwanzo kabla ya ubunge alikuwa anakaa kule kweny Chamwino sasa hivi kahamishia makazi yake kule juu kwa wadhungu.

Hii ndio kawaida yao wakishapata.
 
Yeye kama mbunge anaishia wapi? singida au london?

avatar10655_5.gif

Mkuu hiyo avatari imenimaliza.
 
Wanawake hatupendani daima dumu.

hapa ndio napata shida, sasa mamii kama kakosea asiambiwe kisa mwanamke mwenzetu huko si kupendana ni kupotezana ukweli kila siku uwekwe wazi.
kwangu mwanamke akisema pumba nitamwambia ili siku nyingine asituabishe huku ni kujengana si kuchukiana.
usiwe na mawazo hayo.

alichosema huyo dada hata angesema mkaka ningalikuwa mimi nachangia lolote ningesema ukweli wa namna nionavyo.
 
Umesikia mchango wake wote aliochangia
unajua alikuwa anamaanisha nini kusema alichosema?

Na kama mwanamke unaweza kuelewa ugumu na changamoto wanazopitia mpaka wanafika hapo bungeni,na kiukweli hamna pumba yoyote aliyeongea Martha Mlata na mbona hata Sugu ameongea mambo ambayo
almost yanafanana mbona yeye mnaona yuko sahihi?
 
huyu mama anatafuta umaarufu huu umaarufu wa kwanguvu unatabu sana, nimeamini kale kausemikuwa maskini aipata.....
kama huyu mama anapita huku atakmbuka alikotokea kipindi yupoyupo tu kipindi anaimba kwaya pale azania front hata nauli hana yakuja kwaya anachangiwa na wanakwaya leo hii anaongea upuuzi usio kuwa na kichwa wala miguu eti bodigadi @#$%&^^&**()_!@#%^!^

jamani nyie ccm viti maalumu achani kufiiria kwa masaburi tumieni akili mnatuabisha sie kinamama tunaonekana tuwaza saluni tu na kupaka wanja. yaani kaniaribia siku kweli huyu mama nahisi ndio chanzo cha kukimbiwa na mume wake maana hanamchango ndani ya nyumba kwa akili hii bure kabisa!!
 
analeta hadithi ya bi kiroboto kudharau kariakoo!alitaka aishi masaki?wa na ccm mnaubaguzi mpo mbali sana na mnaowatala
 
Okay nimepata logic kwanini wabunge wengi wanakimbilia kuishi Dar na co majimboni mwao nadhani ata huyu mama kama ni muwakilishi wa singida huko singidan kuna kaz kwani hana hoja za kuongea bungen..
 
Mimi jamani nilishawahi kuonya hili suala la viti maalumu,ona sasa!!Hebu wadau naombeni CV yake maana mimi ninavyomfahamu tofauti na ubunge wa viti maalumu ni muimba kwaya na gospel!!
 
Umesikia mchango wake wote aliochangia
unajua alikuwa anamaanisha nini kusema alichosema?

Na kama mwanamke unaweza kuelewa ugumu na changamoto wanazopitia mpaka wanafika hapo bungeni,na kiukweli hamna pumba yoyote aliyeongea Martha Mlata na mbona hata Sugu ameongea mambo ambayo
almost yanafanana mbona yeye mnaona yuko sahihi?

Na wewe ni walewale hebu mwaga hapa aliyoyasema Sugu, ili tuone kama na yeye ametukashifu tunaoishi uswazi.
 
Back
Top Bottom