Bungeni leo: Martha Mlata; Kanumba alitakiwa awe na Bodigadi na hakustaili kuishi Sinza

Mbunge huyu alipokuwa anachangia hoja kuhusiana na sheria juu ya haki za wasanii na kazi zao. Alsema maeneo aliyokuwa anaish marehemu kanumba ni uswahilin hatari kwa Jk pamoja na Pm na wengneo.

Aidha aliongeza kuwa msanii huyo alpaswa kua na bodgad wa kumlnda.

ukisikia ukubwa jinga ndio huo,huyo mbunge nani kamwambia haters wa jk wapo uswahilini tu?huko uzunguni hakuna haters?ajue kikulacho ki nguoni mwako,na naomba mtu atumwagie historia ya huyo mbunge,lazima atakuwa amekulia kwenye shida,na ni masikini aliepata ambae makalio hulia.....
 
Martha Mlata nilimtoa kwenye list ya wasanii tangu siku ile alipojitokeza kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru akiwa na kikundi cha kwaya, badala ya kuimba 'live' huyu mama ali-mime! Sherehe kubwa kiasi kile, wageni toka nchi mbalimbali halafu yeye ana-mime?
 
Wakala wa mafisadi huyo kwani bodogadi angemlinda na huyo under 18









mbunge mmoja wa cdm ni sawa na wabunge 5 wa magamba
 
Tatizo ni huyu mtu mashuuli aliyekuwa anaongea na Lulu. Hapo ndo tunakata kujua. au ndo maana imetolewa TZS 10m katika msiba kama rambi rambi!! Tz kuna issues
 
Amesema kweli kabisa...............Mimi mwenyewe sasa hivi ninafanya mipango ya kuhama huku Tandale Kwa Mkunduge na kuhamia maeneo ya Masaki na nimeshatangaza nafasi za kazi za Ma-Body Guard wawili kwenye Gazeti la Ze Gadiani la leo.
Hali imekuwa sio ya kuaminiana hususan humu JF na inabidi nichukuwe Tahadhari.............LOL
 
Kama sinza ni uswahilini vp kuhusu manzese,tandale na buguruni?siamini km sinza ni uswahilin kihivyo
 
huyu mbunge anataka Rais na MP wasikanyage sehemu maeneo ya walala hoi kwa sababu tutawadhulu!!!! mbona wanapoomba kura wanaingia mpaka ndani kabisa . au kura za osterbay zitawatosheleza?
 
Mbona hata Sugu amesema mambo ambayo
karibu yanafanana,walikuwa wameungana kuchangia hiyo hoja kama watetezi wa wasanii.

Au kwa vile tu ni CCM,ni mwanamke..hata mmepata nafasi ya kusikiliza alichozungumza au mmesikia tu na kuanza kutukana..

Punguzeni Chuki.
 
Leo kwenye daladala abiria 6 walikuwa wanambishia mwenzao mmoja eti waziri wa fedha ni Profesa Mustafa Mkulo! Huyu mmoja alikuwa anakataa kuwa Mkulo sio Profesa labda kama ni Dokta Mkulo, hebu jiulize hapa ni mjini na abira wale sita ni watu wazima sana. Maneno ya mheshimiwa huyo na hawa abiria sita yanaonyesha hali halisi ya upeo wa uelewa tulionao watanzania.
 
Changien hoja wana jf nimeleta kwenu hii mada kwan nilkiwa na ndoto za kuamia snza soon kutoka mabibo lakn statment ya huy mp imenizingua c kawaida.

Endeleen labda mtanpa moyo hapa nshaghair kuamia sinza, bora nbaki huku mabibo nakoamin n usaz
 
Mbunge huyu alipokuwa anachangia hoja kuhusiana na sheria juu ya haki za wasanii na kazi zao. Alsema maeneo aliyokuwa anaish marehemu kanumba ni uswahilin hatari kwa Jk pamoja na Pm na wengneo.

Aidha aliongeza kuwa msanii huyo alpaswa kua na bodgad wa kumlnda.


Wana JF tumsamehe bure hakuwa na points za kuchangia
:nod::nod:
 
Masikini CCM na Wabunge wake!hivi si bora kunyamaza tuu kama Rostam alivyofanya? Kwamba RA hakuwahi kuchangia wala kuuliza swali.
Ila kwangu mie bora aliyekaa kimya kuliko aliyetoa ***** kama huu Bungeni.
 
Haelewi kitu, Michael Jackson, Whitney Houston wotee walikuwa na body guards mbona walikufa pumbafuuuuuuuuuu kabisa.

Hata hivyo siyo kila celebrity ana walinzi, Kanumba pamoja na kuwa alikuwa Star wa Tanzania, uwezo wake ulikuwa ni mdogo sana, angekuwa na pesa za kutosha angenunuwa nyumba Masaki, Mbezi Beach, Mikocheni au Upanga, pamoja na hayo yoteeee bado ANGEKUFA TUUU!!!! Kufa tutakufa woteeee, ila kila mtu atakufa kwa muda wake. Wabunge wa siku hizi wanachekesha sana....Hasa wabunge wa CCM...
 
Amesema kweli kabisa...............Mimi mwenyewe sasa hivi ninafanya mipango ya kuhama huku Tandale Kwa Mkunduge na kuhamia maeneo ya Masaki na nimeshatangaza nafasi za kazi za Ma-Body Guard wawili kwenye Gazeti la Ze Gadiani la leo.
Hali imekuwa sio ya kuaminiana hususan humu JF na inabidi nichukuwe Tahadhari.............LOL

Kumbe umegeuka SUPA STAA, naomba uhame na nchi kabisa kwa hapa bongo hakuna makaburi ya masupa staa, makanisa ya masupa staa, hospitali za supa staa.
 
Back
Top Bottom