Bungeni kwawaka moto, ripoti za kamati zaibua mjadala mkali!

Hivi kwani Tanzania nayo ni Nchi? Msaada please.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI"
 
kwani wabunge waccm hawapo mbona naona woote wanaoitwa ni waupinzani
 
wataongea saaana na kutoka mapuvu wakitoka hapo wameshatia posho mfukoni hawakumbuki tena wameongea nini kesho yake na mambo yanaendelea
Ni bunge jingine sio hili linaweza kuwa na meno
Si mnakumbuka ya Jairo mpaka leo kimya kama hakuna lililojadiliwa maana watu waliongea mpaka mapovu yakawatoka midomoni ila leo kimya

acha tu kaka,hawa wazandik na hapo wanauza sura,had leo maazimio ya richmond yanawasuta,
 
Hapa dawa ni kuanza kufilisi watu na kuwatia ndani.., ndio watu watajua kwamba tupo serious, bila ya hivyo yatakuwa yale yale kila siku..

lakini on second thought tukianza kutia watu ndani huenda nikabaki peke yangu (hii nchi uozo mtupu.., kuanzia juu mpaka chini wote wezi..)
 
Naona kama anataka kumwaga chozi!

Jamaa yuko sawa, wamepelekwa Hongkong, wamepelekwa Singapore waliambiwa wanaenda kukagua mali za serikari na wamelipwa perdiem kibao. Kufika kule hamna kitu, kumuuliza jamaa wa TBS aliyewapeleka mbona hatuoni kitu? Akawaambia nyie mna wasiwasi gani? Kuleni hela bana hapa si mmekuja kutalii? Jamaa alikasirika anasema asingekuwa mlokole angepiga mtu ngumi. Duh! Tz zaidi ya uijuavyo.
 
Back
Top Bottom