Bungeni: Kwanuka

Logo

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
588
48
[h=6]Mbunge: Mheshimiwa Spika, kabla sijachangia hoja nilikuwa na pendekezo moja tu, mnaonaje mngechagua na Kipaza Sauti Kimoja ili visaidiane na Spika? Maana hizi spika za sasa zimeharibu bunge letu?[/h]Spika: Kaa chini wewe Mwehu nini?

Mbunge: Umeona sasa? Nilijua tu hii spika ina matatizo......
 
ya kweli haya maana sijaangalia hilo bunge.
nani ameambiwa hayo maneno
 
Jaman mafumbo mengine mpaka tuyafumbuaje? Ndiyo maana tunauziwa nguzo zetu wenyewe.
 
Duh hili fumbo mkuu nimekukubali! Umetumia lugha ya picha, lakini umegusa mule mule. Spika zimekuwa zikitoa sauti za ajabu ajabu utafikiri mende kaingia ndani......inabidi kile kijitabu kinachotakiwa kuandikwa upya kinatakiwa kiwekwe aya zinazotamka wazi wazi kwamba tutumie spika za nchi zisizofungamana na upande wowote ( zisizo na mende ndani yake).
 
Back
Top Bottom