bungeni kumekucha

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
hatimae ule mswaada wa malekebisho ya sheria mbalimbali umekataliwa na wabunge hadi bunge lijalo. asubuhi pia walirudisha malekebisho ya sheria ya ushuru wa bidhaa. hadi naibu supika akasema "mbona kila zamu yangu ya kukaa hapa ikifika mambo yanakuwa magumu?". bunge limeahilishwa hadi kesho saa tatu. ova
 
nilikua nakaanga samaki jikoni nikaskia NDIOOOO mara SIOOOOO nikakimbia nusura nivunjike mguu dah! kufika nakuta kura zimeshapigwa, sikuelewa kinachoendelea
 
yule mbunge wa kigamboni alitaka mswaada uondolewe halafu akaongea mama fulani sijui ndo wanamuita chief kasema eti kile ambacho hakitakiwi ndo kiondolewe. ndipo tundu lissu kawajuza sheria za bunge zinavyosema kwamba hoja ikiletwa na ikataka kuondolewa inaondolewa yote. ndipo ndungai kasema wanaosema iondolewe waseme ndio lakini ndio na sio ziligongana. walipo rudia tena ndio zikashinda. so mswaada ukaondolewa.
 
hatimae ule mswaada wa malekebisho ya sheria mbalimbali umekataliwa na wabunge hadi bunge lijalo. asubuhi pia walirudisha malekebisho ya sheria ya ushuru wa bidhaa. hadi naibu supika akasema "mbona kila zamu yangu ya kukaa hapa ikifika mambo yanakuwa magumu?". bunge limeahilishwa hadi kesho saa tatu. ova

Umesahau kumalizia Ova and Out!

Inaeleka naibu supika anatenda kazi yake vizuri, si mbabe kwenye hoja za msingi tofauti na supika mwenyewe ambaye akilikomalia jambo hata kama halifai atataka libaki hivyohivyo ...
Na wabunge wakati mwingiene wanafanya kazi waliyotumwa ya kuwakilisha wananchi na wanajali utaifa zaidi kuliko itika zao za vyama. Kama siku zote wangekuwa hivyo madudu mengine yasingeruhusiwa kupitishwa na Bunge.
 
Kwa maoni yangu Bunge leo lillifanya kazi kama Bunge linavyotakiwa kufanya kazi. Bills mbili za serikali zimeshindwa kupita in one day largely because of ineptutideness of the front bench of the Government side. This was really a PATHETIC team.
 
jf bwana! kuna watu wako kama popo humu! mara wamsifie Ndugai mara wamponde!
 
Back
Top Bottom