pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaBaada ya Mheshimiwa Tundu Lissu kuwachemsha Wagombea uwakilishi wa SADC kwa maswali ya kitoto na woote kushindwa kutoa majibu,, Kwa mujibu wa Wanajamii wengi wanasema Kama Mmoja anashindwa kujua hata Kirefu cha neno SADC anagombea nini sasa,,,
Mwingine anagombea kitu hajui hata kilianza mwaka gani jamani Hawa wabunge wa CCM vipi? mbona wanahaibika kiumee?
Wanashindwa kusema hata this wanasema zis hahahahahahahahah hapo ndo hoooi
Sasa Mnyika na Lisu walianza juzi na jana, Mbowe na Kabwe wanawavutia kasi wakati Mtoto Mdee akishusha pumzi,, Lussu ambaye iliwahi kusikika Kikwete akisema kwa mdomo wake kuwa "" NI HERI SLAA AWE RAISI KULIKO LISSU KUWA MMBUNGE""
kwa kauli hii inaonesha Hata wanaCCM wanajua jasho lazima litaatoka Safali hii,,
Nakupa sana Big up Li suu,, fanya kazi tulio kutuma kaka
Peeeeeeeooooopleeeee.........................
Khaaa kuna mmoja wa wagombea upande wa CCM alishindwa ku define what does the word SADC stand for? au The long meaning of SADC hapo juzi mjengoni na watu wakabaki kucheka na bunge likabadilika likawa la Ki English na walio kuwa wanatamba humo ni CHADEMA, CCM walikuwa wao ni kupiga madawati yao humo kwa kufuata mkumbo
Mkumbusheni Bwana Lisu kwamba Singida wanataka maendeleo. Kwenda kujitafutia cheap popularity TBC1 Kwa kuuliza "gotcha questions" sio ishu wala nini.
Ushauri wa bure.
Najua lissu ni muongeaji mzuri sana na ndio maana wanamfananisha na wabunge 10 wa ccm*( sijui kwa vigezo gana) lakini ninacho kiona mimi ni mchuano kati ya lissu vs makinda, na tulishuhudia siku ile jinsi makinda alivyo mnyamazisha lissu kwa majibu ya short and clear, pale mgombea wa chadema alipo bebeshwa swali na injinia manyanya lilomzidi uwezo la kutomtambua rais
mi nadhani lissu aache papara atakutana na mengi sana mbeleni, asome kwanza mazingira
Ushauri wako hata ungekua ni wakulipia bado ni wa hovyo. Baki nao
Nimeipenda hii.Kuna wabunge wengi humo Mjengoni wakipiga madawati wanikumbusha mkwara wa Sokwe pale alindapo himaya yake. Atapiga miguu na mikono juu ya matawi na kulia kwa sana huku akitetema kwa hasira.
hiii