Yuko sawa. Kuna uonevu gani unaozidi kuchomewa sehemu ya Ibada?
Mkuu hii kitu ilinisababishia ban narudi baadae kivingineAdai wakiristo wa Zanzibar wanaonewa.hii ni wazi waislam wanaposema Chadema kipo kwa ajili ya kutetea kanisa sasa imepata nguvu.
hata wale wanaopinga sasa hawana hoja.
mungu anusuru chadema kushika nchi. vita vya kidini vitazuka
pia wanawalazimisha kufunga huu ni ukoloni wa kidiniAdai wakiristo wa Zanzibar wanaonewa.hii ni wazi waislam wanaposema Chadema kipo kwa ajili ya kutetea kanisa sasa imepata nguvu.
hata wale wanaopinga sasa hawana hoja.
mungu anusuru chadema kushika nchi. vita vya kidini vitazuka
Yuko sawa. Kuna uonevu gani unaozidi kuchomewa sehemu ya Ibada?
pia wanawalazimisha kufunga huu ni ukoloni wa kidini
Naona unawaza Uji wa jioni ndio kitu kinachokusumbua au pilau la Idd liandalie mkungu wa ndizi mbivuAdai wakiristo wa Zanzibar wanaonewa.hii ni wazi waislam wanaposema Chadema kipo kwa ajili ya kutetea kanisa sasa imepata nguvu.
hata wale wanaopinga sasa hawana hoja.
mungu anusuru chadema kushika nchi. vita vya kidini vitazuka
Sio kosa lako. Kosa la dini yetuMnataka kila mmoja awe na kanisa lake ,hivi unajenga kanisa katikati ya msitu unamaanisha nini kama sio kufanya fujo ,hilo kanisa lipo katika msitu wa makangale Pemba ,yaani hakuna hata mtu ,wakiristo wenyewe wanahesabika ,mnaharibu hela(Najua wengine hupata kuiba kwa miradi hio). Zanzibar hakustahili kujenga kanisa kila kona, yaani kila mtu mmoja ana kanisa lake. Yaani ukiangalia utaona nifamilia mojatu mtu na watoto wake ndio wanaingia kanisani ,agenda hii imegundulika.
Huyu sasa anaiita M4C kwa nguvu hata kama hawakuwa na ratiba ya kupita jimboni kwake!
Chama cha msimu kinamsumbua nini jamani?
Hivi nchi hii ina sheria inayomzuia mwanasiasa yeyote kupita katika Jamhuri hii na kueleza sera zake za kisiasa?
Tena hjimbo la Same wanatakiwa wakae wiki nzima!...Amewadanganya siku nyingi watu wa jimbo lake kuwa analeta mitambo ya kusindika hoho na pilipili mbuzi!
Kwa uwezo huu wa kufikiri Wakristo wataendelea kutawala ulimwengu mileleTuwacheni tupumue ,tunaelewa karibu Tanganyika itakuwa nchi ya wanude na ili kuepuka ukoloni wacheni watu wanywe na kupiga gongo wanayiotaka ,yanini kuwakamata wakati hamuwasaidii kuwapa hela za kulewea ,huoni kama huo ni ukoloni wa kijinsia.
Mnataka kila mmoja awe na kanisa lake ,hivi unajenga kanisa katikati ya msitu unamaanisha nini kama sio kufanya fujo ,hilo kanisa lipo katika msitu wa makangale Pemba ,yaani hakuna hata mtu ,wakiristo wenyewe wanahesabika ,mnaharibu hela(Najua wengine hupata kuiba kwa miradi hio). Zanzibar hakustahili kujenga kanisa kila kona, yaani kila mtu mmoja ana kanisa lake.