Bunge vs the commedy

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
816
Mimi ni mpenzi sana wa kipindi cha Ze Komedi na ningependa wawe wanarusha kila siku ila wao wanarusha once in a week yaani alhamisi. Kwa siku ambazo hakuna ze comedy huwa naangalia Bunge ili kuburudika.
 
Mimi ni mpenzi sana wa kipindi cha Ze Komedi na ningependa wawe wanarusha kila siku ila wao wanarusha once in a week yaani alhamisi. Kwa siku ambazo hakuna ze comedy huwa naangalia Bunge ili kuburudika.


Aisee kuna Burudani tofautitofauti kutegemeana kwanza na CV background, halafu mitazamo + na -
teh teh teh..tih ...:heh:
 
Sio kosa lako nakushauri ukaombewe, maana ikiwa kama hakuna ze commedi huwezi kuangalia vipindi vingine mbali na bunge ambalo pia ni la muda mfupi. Ama tafuta wataalamu wa kuwekee programs nyingi kwenye king'amuzi chako ili upunguze hii adha inayokukumba,pole .....!!
 
Hujakosea. Bunge la tz ni a heri hata ya ze comedy ina mvuto zaidi. Na huyo mrs spika ndo kabisaaaaaaaaaa hana mvuto mentally, spiritually wala physically. Hivi alisoma wapi na ni vigezo gani vilomuweka hapo? Mahusiano au???????????? HOJA ZKWANZA BUNGE LENYEWE NI UMATI MKUBWA MNO NDO MAANA INAKUWA VURUGU. HEBU ANGALIENI BUNGE LA KENYA, MWEZENU NIKITAKA BURUDANI YA KUSIKILIZA WABUNGE NA HOJA ZAO ILI NIJIFUNZE KITU HUWA NAANGALIA KBC. HAWA WA KWETU HAMNA KITU WAKO KIMASLAHI BINAFSI ZAIDI HIVYO NI NGUMU KU EXPERIENCE HOJA YENYE NGUVU IKIPEWA UZITO STAHIKI,
 
Back
Top Bottom