Bunge na mwelekeo wa kuwa na namna ya 'roll- call'

babykailama

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
251
243
Hakika kama ilivyo kwa wananchi wengine wote, Wabunge nao wanatakiwa kuwajibika ipaswavyo wawapo Bungeni na majimboni kwao.
Hata vivyo, je wananchi wanapata picha gani ya chombo hiki kikubwa katika nchi chenye Viongozi wengi walioaminiwa na wananchi kama inafikia hatua ya wao (Wabunge) kulazimishwa kuwa wanasaini orodha ya mahudhurio ili kujua kama kweli wanawajibika (wanahudhiria vikao vya Bunge) au la?
 
Back
Top Bottom