Bunge Live June 25: Bajeti za Ofisi ya Waziri Mkuu/Kiongozi wa Upinzani Bungeni

Tunatarajia bajeti nzuri leo na zitakazoleta sinema mpya bungeni,
Arusha Mambo nawapata kwa usikivu wenye uhakika, niko KIBONDO, hapa nilipo hakuna mawimbi ya Redio wa TV isipokuwa internet ambayo ndiyo inanisaidia kusikia bunge, hii akili sijui mmeitoa wapi, BIg UP!
 
i think haitakuwa na jipya maana wote (wizara na ofisi zote) zinabanana kuchukua hizo trion 10 za matumizi alizolowasilishwa Mgimwa
 
Back
Top Bottom