Bunge litoe azimio kuiwajibisha serikali-wabunge

KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,827
1,271
Katika Michango ya wabunge wengi bila kujali itikadi zao wanapendekeza wabunge waache kulalamika baadala yake watumie kanuni za bunge za kuiwajibisha serikali wakiongea katika wakati tofauti wakati wakuchangia hoja ukianzia kwa Halima Mdee,Zambi na Serukamba.Wanapendekeza kufanya kazi za kibunge.

Mytake: Je rungu liliowaondolea uwaziri Mbilinyi,Simba, Ngasongwa,,,,,,kwani wakina mkulo nao wasichezee kichapo!
 
Back
Top Bottom