Bunge Lisionyeshwe LIVE - Wabunge!

ole wao narudia tena ole wao walete hii hoja ya kipuuzi ndo watatujua sisi mabosi wao ni wa type gani,walah hata bakora tutawatia...

yamefanywa meeengi ya kipuuz na haohao ila hamkuwatia bakora,washaona wapiga kura wao ni mazoba
 
Ni kitu gani kinachokufanya utuhumu kuwa ni wabunge wa ccm? Bunge lote hilo si wa CCM wala Chadema ni wababishaji tu huo ndio ukweli wenyewe na ndio sababu zaidi ubishani hakuna kinachofanyika; kimsingi hao si wabunge ni makada wa vyama wabunge karibu 90% ni vituko tu hata kuchambua bajeti hawajui hata hao wa upinzani kusoma bajeti yao wenyewe iliwashinda sasa tutasema tuna wabunge?

Chama
Gongo la mboto DSM

Another "silly season"
 
..Wamegundua wananchi wanafuatilia sana bunge, tofauti na zamani. Hii ni changamoto kwao maana hata siri zao zinatoka nje kirahisi. Naamini wamesukumwa na kashfa hii ya rushwa. Bila kashfa hii, usingewasikia wakipinga kuonyeshwa live kwenye luninga maana "hewa" ya mwanasiasa ni vyombo vya habari, la sivyo anakufa.
 
Spika wa Bunge amesema kuwa baadhi ya wabunge wanaandaa hoja ya kuzuia vipindi vya Bunge kuonyeshwa LIVE kwa wananchi!
Ninavyochukulia: Huku ni kulewa Madaraka!...Wanataka wachape usingizi bila kuhojiwa na wapiga kura hawa!

CHANZO: Gazeti la Mtanzania leo 13/08/2012

Wakifanikisha hili ndio tutazidi kuwaona wabunge wa CCM walivyo vilaza.Hata hivyo waendelee tu maana sikio la kufa halisikii dawa..Kwa nchi yenye matatizo kama hii hivi mnaweza kukaa Bungeni kujadili jambo kama hili, yaani kuonekana ama kutoonekana? upuuzi mtupu! Jengeni hoja kuonekana ama kutoonekana sio inshu!Tatizo lenu magamba badala ya kujenga hoja mnaleta vioja!!
 
Kama CCM iliwazuia wagombea wake kushiriki MIDAHALO, CCM hiyo hiyo itashindwaje kuzuia BUNGE kuoneshwa LIVE kama inaona BUNGE LIVE linaiumiza CCM kwasababu wabunge wa CCM ni mabingwa wa kuchapa usingizi na kupiga kura za NDIYOOOO.

Acha wafute BUNGE LIVE, CDM wakiingia madarakani 2015 wataturudishia BUNGE LIVE! YES, ndiyo tutatia akili kichwani kuendelea kuchagua magamba.
 
Nchi zilizoendelea bunge linaonyeshwa live.. Tatizo wanaokataa ni wale wala rushwa na watoro bungeni...
 
Wakifanikisha hili ndio tutazidi kuwaona wabunge wa CCM walivyo vilaza.Hata hivyo waendelee tu maana sikio la kufa halisikii dawa..Kwa nchi yenye matatizo kama hii hivi mnaweza kukaa Bungeni kujadili jambo kama hili, yaani kuonekana ama kutoonekana? upuuzi mtupu! Jengeni hoja kuonekana ama kutoonekana sio inshu!Tatizo lenu magamba badala ya kujenga hoja mnaleta vioja!!

Kama Wengekuwa na akili Nilitegemea wangejadili namna ya Kuboresha Muonekano, Pamoja na kununua Generator za vitongoji na TV ili wote ambao wanapata Tabu kuliona Bunge waweze Kuwezeshwa Kuona!! Ila wanajadili namna ya kuzuia!! What a shame is This!!!
 
Spika anathubutu kupokea hoja za hovyo kama hii? Wakati huwa anakataa zile zenye kujali maslahi ya Taifa. Hii ni aibu kwa watawala lakini pia litakuwa ni pigo kwa ccm.


Hivi spika ni mwanachama wa chama cha msitu gani vile?
 
Tumewaajiri na kama waajiri tunatatka kujua wanafanya kazi tuliowatuma?

Kama kweli hii hoja itaandaliwa na kuletwa bungeni, basi nashauri isipitishwe kwa kuhojiwa ki-ujumla. Kila mbunge ahojiwe ili watanzania tujue kwa majina ni mbunge gani anakubaliana/anapinga hoja ya kufunika mambo.
 
Hii hoja wala siyo ya wabunge wa ccm peke yao. Mimi nadhani kama taarifa hiyo ya spika ni ya kweli basi nyuma ya wabunge hao kuna serikali yao ya CCM.
Tukumbuke walianza kwa kuzuia baadhi ya hoja za Kambi ya upinzani (mfano sakata la ulimboka) nk. Kwa hiyo, upuuzi huu kama ni wa kweli una mkono wa serikali ya CCM wakishirikiana na wabunge. Na hii ni dalili ya kuzidiwa kete bungeni.
 
Itafikia mahali tuamue kujifunga mabomu tukajilipue hapo hapo mjengoni!

Wapumbavu sana hawa jamaa! Hivi kumbe ukilewa madaraka unakuwa mjinga kiasi hicho? Hizi ni akili za akina Nchemba, Lusinde, Ole Sendeka, wasirra, Lukuvi, Rage (Msomali, kwanza huyu kuna wa jina wake ni kiongozi wa Al shabab) na wengine wa aina hiyo kutoka chama cha magamba. Haki ya nani wananchi tusikubali ujinga huu, wakijidai tu tuende mahakamani mbona wanataka kutunyima haki yetu ya msingi hawa jamaa! Pamoja na kwamba Bungwe lenyewe limepoteza mvuto lakini tunahitaji kuwasikia makamanda wanavyokandamiza! Tumb...ff kabisa!
 
Aiseeee baba yangu hapa wasira+komba+mrema lazima waende mjengoni na magodoro dodoma waka uchape usingizi

ngoja nipige mbege pafu nikakatie gombe majani
 
Back
Top Bottom