Bunge Limehairishwa... Ni kipi cha maana kilichofanyika?

Waziri mkuu, na Wabunge wote, kwa Ujumla hata waupinzania ambao ambao nsio tuna amini ni wakombozi wetu, mimi nafikiri inatakiwa siku moja wazungumzie maswala ya maslahi yao wawapo bungeni na malinganizo ya uchumi wetu na kile ambacho wana zalisha, kwa hali hii tutakuwa tunaenda kisomi, kwani ni vema mtu akalipwa kulingana na uzalishaji, leo hii wapo wabunge wa viti maalumu, wengine na uwazir4i wamepewa, hata hatujui productivity zao, mimi naona kama wengi wapo pale kunyosha vidole tu kuchangia au kupinga hoja, na si vinginevyo??? maana wengine mpaka bunge linakwisha hajawahi kuhoji jambo, sasa si bora haya maswala ya viti maalumu yakafutwa, maana mi sioni faida yake, kama mlemavu wa ngozi aligombea akapita vivyo hivyo wengine wote naamini wanaweza kupita, disability is not inability, embu tuondokane na dhana hii mbaya,:A S 13:
 
Back
Top Bottom