Khakha
JF-Expert Member
- Jul 15, 2009
- 2,982
- 1,009
Uzuri ni kwamba siku hizi habari hazitolewi na chombo kimoja kama enzi za chama kushika hatamu,wakidanganya,upande wa pili unatoa ukweli.Bado itaendelea kula kwa magamba mpaka wamrudie Mungu maana haya wanayotufanyia hayampendezi Mungu kabisa.
TBCCM mimi huwa natazama kukiwa na bunge tu tena live. kama kungekuwa na station nyingine inaonyesha bunge nisingeigusa kamwe.