bunge lilokarabatiwa

kabegu

New Member
Aug 4, 2012
1
0
Nchi jirani ya kenya inazindua bunge 'jipya' baada ya kulifanyia ukarabati la zamani. Hii ni baada ya kuvutiwa na hivyo kugeza kutoka bunge letu la tanzania. Wamechoshwa na kutupiana viti.viti vya sasa having'oki
 
Kwa kuwa viti having'oki hawarushiana makonde na vitabu......
 
wee mgeni noma.na limekarabatiwa balaa,karibu sana
 
Back
Top Bottom